Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga!
Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta na si sahihi kufanya maamuzi kwa kuangalia kabila la mtu.
Mkuu wa mkoa una mengi ya kujifunza na asipokuwa makini Arusha itamshinda
Lazima huyu mtu atakuwa amechanganyikiwa na madaraka, vinginevyo hizo sio kauli za mwanasiasa kutoa kwenye vikao.