Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

Umetumwa au uliagizwa ? Sijui Kama kwa hili utalipwa
 
Umetumwa au uliagizwa ? Sijui Kama kwa hili utalipwa
209e186b00a6eb65c6f44510931b0e44.jpg
 
Umenifumbua macho, ndio maana sijawahi kuhudhuria hizi mambo!
 
Mashana Jr nilisikia pia hata mavazi au sare za kijeshi nazo ni zinatoka huko huko
 
Nimeangalia maadhimisho ya jana ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye luninga baada ya kutoka kwenye meditation retreat ya siku mbili

Nikaangalia wale maaskari yale wayafanyayo wamesimama kwenye mistari kwa ukakamavu na kuongea kwa sauti kubwa maneno waliyokariri huku kule meza kuu kwenye jukwaa wale wanaoitwa viongozi na wageni wa heshima waalikwa wakiwa wamesimama kimya kabisa wakiwa wanasikiliza yale maneno. .... (ukifanya hivi mtaani pekeyako au hata mkiwa wengi mtaitwa wendawazimu mnapiga kelele na kupayuka na mnaweza kukamatwa na kupelekwa mirembe

Haya matendo ya parade ni ibada za kishetani, kubeba silaha kama kule na kufanya maigizo kama yale si lolote bali ni mwendelezo ule ule wa ibada zisizomtukuza Mungu

Fananisha kile kinachofanyika pale na ibada zile za kwenye nyumba za ibada tofauti yale ni moja tu kule tunabeba vitabu na misahafu na kumtaja Mungu na matendo mema huku tunabeba silaha na kughani maneno yasiyo na mahusiano yoyote na Mungu...silaha lake ni moja tu KUANGAMIZA na KUFISHA na KUHARIBU UUMBAJI magwaride haya ni ibada za kishetani
Najua wazi hii post inaweza kuleta mushkeli mkubwa kwa wale wasioweza kuwaza marambili ama nje ya kasha...mkuu wa meza anapokaa pale ni sawa na mungu mdogo yeye ndio kila kitu pale na maagizo yote hutoka kwake ama kupitia wasaidizi wake!

Mkuu wa meza hana tofauti na mgeni rasmi mkuu
Meditation retreat! How? If you don't mind nijuze.
 
Ibilisi ni mkuu wa ulimwengu huu . Soma YOHANA 12:31, 14:30; 16:11; Pia kuna maandiko yanamtaja ibilisi kama mungu wa dunia hii.- soma 2 KORINTHO 4:4. (mungu inayoanza kwa herufi ndogo ni ibilisi huyo) jina la Mungu wa miungu ni lazima lianze kwa herufi kubwa (kimaandishi).
Dah.. Sasa wewe unaleta stori za kujichanganya bana....
Biblia ya kwanza iliandikwa kwa herufi za kiingereza?
 
Back
Top Bottom