Tetesi: Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

Lee

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
39,301
2,000
wamejitakia wenyewe ... maana wanaija kila kitu wanatuzidi hadi uchawii
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,785
2,000
Semaji la kuzimu likifurahia ujinga wa Utopolo
FB_IMG_1631647099990.jpg
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
64,114
2,000
Wala usifikiri kuwa Rivers ni serikali au wapo juu yasheria,kikubwa utaratibu ufuatwe tu. Ameumizwa aende police ubalozini kwao akashitaki.
Polisi hawahawa walioshughulikiwa na Hamza?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom