Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

wamejitakia wenyewe ... maana wanaija kila kitu wanatuzidi hadi uchawii
 
Semaji la kuzimu likifurahia ujinga wa Utopolo
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Wala usifikiri kuwa Rivers ni serikali au wapo juu yasheria,kikubwa utaratibu ufuatwe tu. Ameumizwa aende police ubalozini kwao akashitaki.
Polisi hawahawa walioshughulikiwa na Hamza?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom