Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Kuhusu marehemu uko sahihi,kuhusu maiti kupigiwa salute ndo salamu za kijeshi au kutoa heshima, kuhusu mbunge kupigiwa salute na CDF sijajua imekaaje kiprotokali
Nilipomaliza chuo mwaka 2009 nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ. Basi tu nilikosa connection.Wakuu,
Mkuu wa Majeshi (CDF) anampigia salute Mbunge ?
Halafu , kwanini maiti huwa zinapigiwa salute na maaskari au wanajeshi ?View attachment 1753408
Daaa aisee alizingua, hope alitubuUsinikumbushe Kingwalangwala alipokua anapigiwa salute halafu alivyo mshamba na mshirikina aliwarusha kichura watu na familia zao.
Madaraka Yana mwisho wake.
Hivi Kingwalangwala Ni muislamu au anaabudu vibudu?
Umemaliza kila kitu chief.CDF hapigi saluti kwa Mbunge.....
CDF anapiga saluti kwa viongozi wa serikali...akiwemo DC,RC,Mawaziri na wateuliwa wengine wa rais kwenye utumishi wa umma sababu wale wanamwakilisha Rais au madaraka ya Rais kwenye wilaya na mikoa yao.....
Na sababu CDF na jeshi ni watiifu kwa serikali ndo mana waanguka saluti kwa wakuu wa mikoa na wilaya..
Wateule wa serikali haijumuishi wakuu wa mashirika,ma ded,Das,Ras, etc.......hawa hawapigiwi saluti since hawana collective leadership kama mkoa au wilaya.
Kuhusu maiti kupigiwa saluti ni salamu ya kijeshi kwa watu waliokua kwenye adhi ya u-amiri jeshi au makamanda etc.
Mbunge anaweza pigiwa tu saluti kama ni waziri wa wizara flani ya serikali.
Dr Hussein mwinyi alipigiwa sana alipokua ulinzi, kigwangwala utalii akifunga mafunzo ya tanapa na mawaziri wengine wa serikali maana nao wanamuwakilisha Rais so wanapigiwa saluti kwa heshima ya Rais.
Mkuu hiko kipindi mbnona ajira za JWTZ zilikua wazi wazi.Nilipomaliza chuo mwaka 2009 nilitamani sana kuwa askari wa JWTZ. Basi tu nilikosa connection.
Nilipambana saaaana ndugu yangu wee acha tu ila sikupata kitu.
CDF hapigi saluti kwa Mbunge.....
CDF anapiga saluti kwa viongozi wa serikali...akiwemo DC,RC,Mawaziri na wateuliwa wengine wa rais kwenye utumishi wa umma sababu wale wanamwakilisha Rais au madaraka ya Rais kwenye wilaya na mikoa yao.....
Na sababu CDF na jeshi ni watiifu kwa serikali ndo mana waanguka saluti kwa wakuu wa mikoa na wilaya..
Wateule wa serikali haijumuishi wakuu wa mashirika,ma ded,Das,Ras, etc.......hawa hawapigiwi saluti since hawana collective leadership kama mkoa au wilaya.
Kuhusu maiti kupigiwa saluti ni salamu ya kijeshi kwa watu waliokua kwenye adhi ya u-amiri jeshi au makamanda etc.
Mbunge anaweza pigiwa tu saluti kama ni waziri wa wizara flani ya serikali.
Dr Hussein mwinyi alipigiwa sana alipokua ulinzi, kigwangwala utalii akifunga mafunzo ya tanapa na mawaziri wengine wa serikali maana nao wanamuwakilisha Rais so wanapigiwa saluti kwa heshima ya Rais.
Dah!! Pole sana Infantry Soldier.Mungu labda hakupanga ulivae gwanda.Nilipambana saaaana ndugu yangu wee acha tu ila sikupata kitu.