Mkuu Utafiti yupo wapi??

Mkuu Utafiti yupo wapi??

nimempeleka kule nlikoendaga mie mwezi wa april kwani nilimwambia asiingie katibani yeye
hakunisikia akaingia ndo maana yamekuta yaliyomkuta ona sasa :A S-eek:
Leo katika pitapita zangu jukwaa la picha nikaona picha alizopost utafiti.

Nimemkumbuka huyu jamaa aisee.

Wanaojua alipo tunaomba tujue, ukimya umezidi.

Usiku mwema
 
nimempeleka kule nlikoendaga mie mwezi wa april kwani nilimwambia asiingie katibani yeye
hakunisikia akaingia ndo maana yamekuta yaliyomkuta ona sasa :A S-eek:

Ulienda wapi wewe?
 
usishangae ndo mambo ya woman.jpg
Hahaha. duh
 
Back
Top Bottom