Mkuu Utafiti yupo wapi??

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Leo katika pitapita zangu jukwaa la picha nikaona picha alizopost utafiti.

Nimemkumbuka huyu jamaa aisee.

Wanaojua alipo tunaomba tujue, ukimya umezidi.

Usiku mwema
 
Yupo kwenye mfungo....analinda swaumu yake
 
Hajafungiwa banaaa! Nimecheck profile yake na kile kitufe cha kuonyesha kwamba amefungiwa hakipo na avatar yake ipo.

Tafiti zake zilichosha wanajanvi
 
Hahahahaaaa hujampenda ila kuna ulichopenda

Nimependa hiyo twelve packs hapo mbele....yani hapo naweza kugalagala hata mara tano bila kufika chini....
Nipe namba bwana nikamate fursaaa....
 
Nimependa hiyo twelve packs hapo mbele....yani hapo naweza kugalagala hata mara tano bila kufika chini....
Nipe namba bwana nikamate fursaaa....

DUI naona kweli umedhamiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…