"MKUU" hivi kuna wakuu wangap jamii forum?

SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,971
2,000
Mkuu wa nchi
Mkuu wa mkoa
Mkuu wa wilaya
Mkuu wa kituo
Mkuu wa shule
Mkuu wa familia
Mkuu wa idara
Mkuu wa wa kazi n.k.

Sunajua JF wote mambo safi!

Zaidi ya wote ni Mkuu wa Mbingu na nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,341
2,000
Kila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kwa sababu JF mna watu wa rika na nyadhifa mbalimbali na hatujuani. Tunatoa heshma pasipo kufahamiana. Kiukweli kuna watu humu si wa kutaniwa kabisa kwa umri na nyadhifa zao. Ila kwa kuwa ni jukwaa wamejishusha huwezi amini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom