Mkuu gani huyu wa JF?

Ngoja niepuke Nakozi za kichwa
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana maana hiyo suruali unaweza ishiwa pozi ikiwa utakuwa mtaani kwa mtoko maana watu wote macho kwako:yo:
 
Kiatu chako tu mi hoi bin taaban.
hahahaaa!!! ati nini Jawilat?

that means hizo swagger nilikuvalia wewe kabisa nikupate, si ndiyo?

na ulivyo mdhaifu wa tai na michomekeo, hutochomoa qudadadeki!
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza kuweka miphoto ya Bishanga bila izini yake!
Shaul'lenu .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…