ila huyu boss hakumtendea haki mkuu, yeye kavaa gumboot halafu mkuu anamtandikia mkeka.Hii si bangi kabisa au mi ndo sioni vizuri nini,?
Haha ni noma!ila huyu boss hakumtendea haki mkuu, yeye kavaa gumboot halafu mkuu anamtandikia mkeka.
Wee kweli hujui mmea wa bangi?
Hii si bangi kabisa au mi ndo sioni vizuri nini,?
Ila angekuwa yule wa Iringa mjini kapicha kangenogaje!Huu mmea mbona kama ule unaopendwa na wale jamaa zetu? Ila nimeupenda naombeni kujua unapatikana wapi?