Huu ni ukanda ambao umeishatengwa kuwa 'JATROPHA CAPITAL' duniani for better or for worse. Katika picha ya washiriki wawekezaji unaweza ukabaini kuwa idadi ya akina kanjibahi ni kubwa - hao ndio vinara wa jatropha industry duniani. Perhaps we need to look at this initiative with an open mind:
Kwahiyo wakulima wazawa wakipanda hizi mbegu hazikui mpaka tuombe watu nje waje watupandie, tena basi wanachukua ardhi nzuri na yenye rutuba..., si waende jangwani wakapande kama kweli this plant is drought resistant
Kwanini hawaendi Singida na Dodoma ambapo Jatropha ni indigenous plant na ni dry area wanaenda Rukwa kwenye fertile land?
Du! MKuu anatema [SUP]brocken[/SUP] ile mbaya.hii lugha ya malkia inampiga chenga kidogo huyu daktari wa magogoni.
Jamani kilimo cha kibiashara kinahitaji utaalam na capital investment kubwa. Hili swala la kudhani kuwa wakulima wadogo wanaweza kuwa transformed kuwa wakulima wa kisasa ni very theoretical. Wawekezaji katika kilimo ni muhimu kwa sasa ili thru wao watu wetu watajifunza na baadae kuweza kulima kisasa. By the way wawekezaji katika kilimo hakuanza leo wala jana. Tuwe na positive mind katika baadhi ya initiatives.Kwahiyo wakulima wazawa wakipanda hizi mbegu hazikui mpaka tuombe watu nje waje watupandie, tena basi wanachukua ardhi nzuri na yenye rutuba..., si waende jangwani wakapande kama kweli this plant is drought resistant
Jamani kilimo cha kibiashara kinahitaji utaalam na capital investment kubwa.
Jamani kilimo cha kibiashara kinahitaji utaalam na capital investment kubwa. Hili swala la kudhani kuwa wakulima wadogo wanaweza kuwa transformed kuwa wakulima wa kisasa ni very theoretical. Wawekezaji katika kilimo ni muhimu kwa sasa ili thru wao watu wetu watajifunza na baadae kuweza kulima kisasa. By the way wawekezaji katika kilimo hakuanza leo wala jana. Tuwe na positive mind katika baadhi ya initiatives.
This is whats goin on and its a shame that it is done with our own leaders
http://media.oaklandinstitute.org/sites/oaklandinstitute.org/files/OI_AgriSol_Brief.pdf
]Jamani kilimo cha kibiashara kinahitaji utaalam na capital investment kubwa[/B]. Hili swala la kudhani kuwa wakulima wadogo wanaweza kuwa transformed kuwa wakulima wa kisasa ni very theoretical. Wawekezaji katika kilimo ni muhimu kwa sasa ili thru wao watu wetu watajifunza na baadae kuweza kulima kisasa. By the way wawekezaji katika kilimo hakuanza leo wala jana. Tuwe na positive mind katika baadhi ya initiatives.
Wawekezaji katika kilimo ni muhimu kwa sasa ili thru wao watu wetu watajifunza na baadae kuweza kulima kisasa. By the way wawekezaji katika kilimo hakuanza leo wala jana. Tuwe na positive mind katika baadhi ya initiatives.
Nafikiri kinacho kosekana hapo ni uzoefu wa shughuli za kilimo takita ukiliima mkubwa! niamabie wapi tumekuwwa na ukulima mkubwa unao tuwezesha kutoka kifua mbele na kusema mashamba fulani yanao uwezo wa kulisha au kukidhi mahitaji ya nchi hii kama si porojo na njia za kutufanya mazuzu waliwao?
Mkuu we need global companies in technology sectors, we need global companies in things we cant do.., we need global companies if they can to come here and build their industries to increase employment.
What we don't need is to give these people our fertile land to till (something which even the local mkulima has been able to till the land with jembe la mkono na kulisha nchi).. We dont need this global companies to do something which we can do ourselves and keep all the profits..!! How much does it cost ku-invest kwenye umwagiliaji (and some places we dont even need kumwagilia..!!) how much does it cost to buy combined harvesters and big machines which can till the land night and day... mhhh Okay tell me hatuwezi kuwa na vyama vya ushirika vikafanya hayo hapo juu...
Kwanini tuweke rehani mtaji wa wajukuu zetu...!!??? (hii ni kama mtu mtaji wa pesa unao, unaweza kuzalisha mwenyewe lakini unaita jirani akuzalishie ili mgawane mapato.., tena wewe akupe kidogo..)
Kwani bado wewe unawaamini (kwenye red hapo)Kweli kabisa hizi story za uwekezaje ni kupiga propaganda na kuwahadaa wananchi wakati watu wanauza nchi, mbaya zaidi watakaopata sana shida ni wajukuu zetu.., na watatuona sisi babu zao tulikuwa wapuuzi wakubwa.
VoR hapo umesema kweli mkuu!
Tatizo hii nchi sijui tunakosa kitu gani hata nashindwa kuelewa! wasomi wetu tunaowaamini ndo hao hata hawawezi kujieleza vizuri wakaeleweka. Tuna wasomi waliobobea kwenye uchumi lakini yote hayo hawayaoni. Tangu lini ukaagiza wakulima kutoka nje? Si ujinga huu! Nchi inashindwaje kuwawezesha hawa wakulima wetu wakaitumia ardhi kikamilifu kuzalisha mazao ya chakula na biashara? Ingependeza sana kama hao wanaoitwa wawekezaji wangekuja kujenga viwanda (ingawa Ngeleja naye kanuna) vya kusindika hayo mazao ya wakulima na hao wakulima wakapata soko la uhakika.
.....
...
Bila kuing'oa hii Serikali ya magamba tumekwisha!
Jamani kilimo cha kibiashara kinahitaji utaalam na capital investment kubwa. Hili swala la kudhani kuwa wakulima wadogo wanaweza kuwa transformed kuwa wakulima wa kisasa ni very theoretical. Wawekezaji katika kilimo ni muhimu kwa sasa ili thru wao watu wetu watajifunza na baadae kuweza kulima kisasa. By the way wawekezaji katika kilimo hakuanza leo wala jana. Tuwe na positive mind katika baadhi ya initiatives.
VoR hapo umesema kweli mkuu!
Tatizo hii nchi sijui tunakosa kitu gani hata nashindwa kuelewa! wasomi wetu tunaowaamini ndo hao hata hawawezi kujieleza vizuri wakaeleweka. Tuna wasomi waliobobea kwenye uchumi lakini yote hayo hawayaoni. Tangu lini ukaagiza wakulima kutoka nje? Si ujinga huu! Nchi inashindwaje kuwawezesha hawa wakulima wetu wakaitumia ardhi kikamilifu kuzalisha mazao ya chakula na biashara? Ingependeza sana kama hao wanaoitwa wawekezaji wangekuja kujenga viwanda (ingawa Ngeleja naye kanuna) vya kusindika hayo mazao ya wakulima na hao wakulima wakapata soko la uhakika.
Utasikia hao wawekezaji wanaomegewa ardhi yetu wanalima na kusafirisha mazao hayo kwenda nchini kwao ambako ndo kutakuwa na viwanda vya kusindika hayo mazao na hivyo kuongeza ajira nchini kwao. Subiri uje uone kama Wa-Kenya hawatamiminika hapa kwa mlango wa uwekezaji na kujichukulia ardhi yetu, mara utasikia ardhi yetu inatumika kuzalisha Jatropha! Nchi la wajinga hili!!
Leo hii wafugaji wanaishi kwa hofu katika nchi yao huku ardhi ambayo ingegawiwa kwa wafugaji inaporwa kwa mlango wa uwekezaji! Kuna faida gani nchi kujivunia wingi wa mifugo wakati wafugaji hawajawekewa mazingira wezeshi? Leo hii tunapiga mbiu dunia nzima inatusikiliza eti Tanzania ni nchi ya 3 kwa wingi wa mifugo barani Afrika, lakini hapo hapo wafugaji wananyanyasika na hakuna mtu wa kuwasemea! Hivi nchi hii inashindwa nini kumega ardhi ya kutosha na kuwagawia hao wafugaji wakafuga kibiashara?
Bila kuing'oa hii Serikali ya magamba tumekwisha!