Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,574
Reaction score
8,907
Wakuu kwa upande wa Kenya naona Makamu wa Rais Kenya kaishatua New york, huku kwetu vipi? Au hatuendi?
 
Makamo wa raisi serekali zilizopita alikuwaga mkata utepe kwenye funguzi za miradi mbalimbali naona miaka ya karibuni amekuwa na jukumu lingine kubwa la kuiwakilisha Tanzania kimataifa zaidi! Huu mkutano ataenda yeye!
 
Tumtume diamond tu akatuwakilishe maana hakuna namna huyu mkuu wa kaya ni MVIVU sijapata kuona.
Yeye anacheza Afrika tu,mimi ninachokiona ni kwamba tuko njiani kuifuata zimbabwe ya mugabe ilipo kwa sasa.
Utawala sijui kauleta nani,maana utawala huu umekuwa ni tatizo ambalo halina ufumbuzi.
Naanza kuona umuhimu wa kushauriwa na kufuata ushauri.
 
Mimi nawaonea huruma hawa wafuatao
Usalama wa taifa kitengo cha usafiri
Maofisa wa makampuni ya serikali
Khaswa wizara ya mambo ya nje
Wizara ya fedha
Shirika la ndege Emirates
Ma travel agents wa New York Na madereva wa malimo huko NY
pamoja Na michepuko yao.
 
Mimi nawaonea huruma hawa wafuatao
Usalama wa taifa kitengo cha usafiri
Maofisa wa makampuni ya serikali
Khaswa wizara ya mambo ya nje
Wizara ya fedha
Shirika la ndege Emirates
Ma travel agents wa New York Na madereva wa malimo huko NY
pamoja Na michepuko yao.
mbukwenyi" inaonesha unamengi sana juu ya athari za safari. pole bwana kama na wewe umo.
 
Back
Top Bottom