Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kule New york

mbukwenyi" inaonesha unamengi sana juu ya athari za safari. pole bwana kama na wewe umo.

Mbukwa ulimswanu Mpalakugenda.
Hapana Mkuu Ila miradi ya Watu wengi Hilo ndio lilikuwa tegemeo.Wacha Mkulu ajenge nchi Kwa wote.
 
Kwani ni lugha gani inatumika kwenye huo mkutano? Kama ni kiinglish, usitarajie kwamba mkuu wa kaya atathubutu kutinga ukumbini.
 
Akisafiri tunasema,
Asiposafiri tunasema,
Sisi waja tusio na jema[emoji23]
 
MAGU ASIKOSE KWENDA HUKO NI MUHIMU AKAJUMUIKE NA WAKUU WENZAKE HUKO...

OVA
 
Sera ya mkuu ni watu kuishi kama mashetan akiienda huko watu wa ubaloz watadai operation cost hivo mkuu hatak mambo haya.
Pia mkulu anataman alipe mwenyewe cash na hotel ya kawaida sasa marais wengine watamshangaa ba utajir wote ule wa Tz
 
Back
Top Bottom