Mkutano wa UKAWA Wadoda

Mkutano wa UKAWA Wadoda

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
attachment.php


Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA
 
attachment.php


Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA
Ha ha ha ha ha mbona hujaweka picha za mama samia saluhu alipokuwa Dumila wiki iliyopita jins alivyoumbuka baada ya kukutana na uwanja mweupe
 


Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha aliyepiga alilala kwa mgongo na kupiga angani. Sijui ulitarajia peoples huko kwenye mawingu?
 
Sawa walikua watu wachache kwahiyo tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom