Badala ya kusikiliza nani ana sera za kunusuru taifa kufa mnapiga picha mafuriko. Mim nimeshamaliza kuhudhuria mikutano ya vyama vyote nimeshampata raisi mwenye sera sio maigizo ya kutupotezea mda wa biashara.
I would like congrigation ha ha haHa ha ha Mr Chin unataka tutwange umombo? Wengine sisi Hutuwezi bw!
I'm a the politicians Dr