Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,209
- 46,629
Kamanda tulia hivyo ukitikisika tu utavunja sindano bana miguu achia taratibu makalio dawa ipenye.Mkutano wa mgombea udiwani ulitaka uwe na watu wangapi kamanda au umejaa upepo.
Pole sana kamanda najua unaumia lakini utapona.
Akitoa sindano pakaa dawa.



