Mkutano wa UAMSHO watarajiwa kufanyika leo

Funguka mkuu. Weka details za kutosha. The main agenda ya mkutano huo ni nini?
 
Kiongozi wao alishasema ni mpaka kieleweke. Kazeni buti tu ili mpate ukombozi wa nchi yenu nasi tupate Tanganyika yetu. ila muache kuchoma makanisa hayakujengwa na CCM wala CUF. Kuvunja muungano ni sawa tu mie nawaunga mguu.
 
Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!
 
Nina wasiwasi mabomu yatapigwa huko leo kwa kuwa polisi wamepiga marufuku mihadhara yote ya Uamsho!
 
safari wakijaribu kuchoma kanisa au kuiba mali za kanisa na za wakristo mbano watakaopata ni wa kwanza wa kihistoria katika maisha yao! wait and see!!!
 
Ninyi machogo tu! kajengeni makanisa mikumi muiite zanzibar! mtuachie nchi yetu!
 
Tatizo mbona wameshalielewa, ni MUUNGANO

Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!
 
Kila la kheri. kuweni makini kuna watu watakuwa wameandaliwa na ccmcuf kuchoma makanisa (mungu aiepushe mbali) ili ionekane JUMIKI ndio wanachoma makanisa
 
Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!
Mkuu ni kweli uko serious kwamba suala la muungano siyo la msingi au unatania??!!
 
Back
Top Bottom