Mkutano wa UAMSHO watarajiwa kufanyika leo

Wanatakiwa kuchapwa hawa badala ya kukaa na kujadili kwanini shule za kiislamu zinaburuza mkia wanakaa na kujadili mambo yasiyokuwa na msingi!

Baada ya kujadili hayo uyasemayo ndio maana Uamsho wakaamua kuchukua hatua hii.
 
Wana Uamsho hivi wanaelewa wanachokitaka?

Angalieni Bush asije akanunua Zanzibar yote kupitia kwa mpambe wake Saudi Arabia. Nawaeleza hilo kwa sababu mnachotaka wana uamsho ni kuuza nchi na kurudisha wananchi wa zanzibar kwenye utumwa ambao wananchi wataona ni sawa kwamba tunatawaliwa na waarabu ambao ni dini yetu, sasa hapa ndiyo panapokuja swali kwamba huyo muarabu atakaa na zanzibar mpaka lini? Je hao wanauamsho hawafanyi biashara ya kuuza Zanzibar kwa waarabu ambao ndiyo wafanyabiashara wakuu kwa Wazungu? Wazungu ni watu hatari sana, kwenye weakness yenu ndiyo hapohapo wanapita.
Mimi nina mashaka sana Zanzibar inauzwa kwa wazungu mwarabu ni dalali tu wa kati, Zanzibar iko Africa mbali sana na uarabuni, muarabu ana uchungu gani na Zanzibar mpaka akipewa hela aache kuiuza,.

Wanzanzibar fungueni akili otherwise wote mtamilikiwa na Mzungu kupitia muarabu.
Wazungu hawana ardhi tena huko kwao wanakuja Africa kwa nguvu zote kutafuta ardhi ya kuishi sijui kama mnalielewa hilo, hata wakoloni walivyokuja Africa walitumia dini kuingia na kututawala, sasa wanarudi tena kwa njia hiyo na nyingine nyingi.
Wanzanzibari mkipewa nchi mtaweza kujitawala wenyewe au mtauza nchi kwa msiyemjua??
 
nna wasi wasi sju kama hutumii masaburi kufkiria
 
KUTOKEA 1993
MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu.

Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.
 
Back
Top Bottom