Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Ccm wafe kwa kihoro,Lema wa pili huyu,mijitu hii miwili inajituma kujenga chama mpaka raha.
 
attachment.php

Yaani kwa jinsi Watu walivyo tawanyika hapo uwanjan inaonyesha kabisa Watu walivyochoka na hizi SIASA za cdm ,mnyika alipita hapo ,SIASA ni zile zile ,Leo salum naye amekuja mambo ni yale yale , nadhani hata ule umakini haupo hapo
 
Back
Top Bottom