Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

#moto huu hauzimiki hata kwa mchanga...
 
Attachments

  • 1434215244743.jpg
    1434215244743.jpg
    113.7 KB · Views: 207
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Salum Mwalim ni mkurya wa musoma kama mchepuko wake Ester Matiko
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.
Ufisananishe ufanyaji kazi wa Ufisadi na wapinga ufisadi
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Daktari ni kwa ajili ya mgonjwa, mtu mwenye afya hamuitaji daktari .wale kule kiliisha eleweka
 
Salm Mwalimu ni taswira ya hazina ya viongozi ambao,chadema inao na itakaoqatumia kuwapa majukumu ya kuupindua ulimwengu
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Kumbe nchi ya Tanganyika bado ipo, mi nilidhani ishakufa ati!!
 
Makamanda mnaitwa kwenye uzi wa Zitto kule Tabora mlikuwa mnamuulizia.
 
Last edited by a moderator:
Salm Mwalimu ni taswira ya hazina ya viongozi ambao,chadema inao na itakaoqatumia kuwapa majukumu ya kuupindua ulimwengu
hivi unajua haya maandishi uliyoweka hapa , kwa nchi kama USA unatunukiwa uprofesa ?
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.
Mbona Nape na Kinana hawajawahi kukanyaga Zenji? Kinana kila siku kiguu na njia Lindi, Mtwara na Kagera tu tena akitoa lawama kwa serikali legelege ambayo imetokana na Chama ambacho yeye ndio katibu mkuu na kumlaumu mwenyekiti wa chama chake kulinda mafisadi huku wanyonge wakiendelea kutaabika kwa kupanda kwa gharama za maisha. Eti anakagua uhai wa chama ambacho hakipo tena kwenye ramani ya siasa Tanganyika.
 
mkuu jikite kwenye mada , usihangaike na matarumbeta ya ccm .
 
Back
Top Bottom