Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Wanainchi waliojitokeza kumsikiza Salum Mwalimu muda huu.
 
Attachments

  • 1434206669633.jpg
    1434206669633.jpg
    86.6 KB · Views: 720
Wanainchi wakimsikiza Salum Mwalimu muda huu.
 
Attachments

  • 1434206834133.jpg
    1434206834133.jpg
    62.5 KB · Views: 678
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Inabidi na yeye apigwe ban kama ilivyotokea kule scandnavian
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

Inabidi na yeye apigwe ban kama ilivyotokwa kwa mukulungwa
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke muda huu viwanja vya mara sec Musoma mjini
 
Attachments

  • 1434207261918.jpg
    1434207261918.jpg
    108 KB · Views: 639
Bavicha bana huyu Mwalim ndiyo wakumfanisha na Zitto.

Kwi kwi kwi kwi!! Mbowe mwenyewe hana uwezo kama wa Zitto sembuse huy Mwalimu.

Ritz,salum mwalimu kiti chake cha ubunge kinamsubiri jimboni mwake,lkn huyo zzk hata udiwani sijui kama ataupata mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Bavicha bana huyu Mwalim ndiyo wakumfanisha na Zitto.

Kwi kwi kwi kwi!! Mbowe mwenyewe hana uwezo kama wa Zitto sembuse huy Mwalimu.

Hata jk haoni ndani kwa mwalimu
 
Last edited by a moderator:
UKAWA mnawapaga ruzuku? Ww usikomae naza Richmond na epa meremeta escrow kalia kuitaman UKAWA this time mwalimu atawafunza
 
Hata jk haoni ndani kwa mwalimu

kumfananisha Jk na mwalimu ni kumkosea mwalimu heshima..ukwel.ni.kwamba nafas ya urais kikwete ilimwangukia tuu hana credit za kuwa rais..cheo kikubwa kwake ilitakiwa iwe naibu wazir wa michezo
 
Bado sera yenu ya ukabila,ukanda,udini unatembea nato?
Chadema tunaujenga Muungano na kielelezo ni hiki kiongozi mkuu wa chama zanzibar anatembelea nchi nzima,sio ccm Naibu katibu Mkuu zanzibar hajawahi hata kuhutubia mjini korogwe

Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.
 
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.
akosee Chadema maumivu asikie CCM.Huu mwaka kweli mgumu.CCM mwaka huu tunajipigia
 
Back
Top Bottom