Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Mkutano wa Salum Mwalimu, Musoma mjini

Musoma mjini ccm mwaka huu munafutika!!!tunamshukuru naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar Salum Mwalimu Karibu tena Musoma mjini..
 
Attachments

  • 1434209365544.jpg
    1434209365544.jpg
    75.7 KB · Views: 528
Huyu jamaa ni kiongozi wa Chadema Zanzibar lakini kila kukicha kiguu na njia Tanganyika.

Huko Zanzibar wanampuuza tu bor ajitafutie riziki yake Tanganyika.

UKAWA wanempa jimbo Zanzibar lakini hata siku moja hajawahi kufanya mkutano kwenye ilo jimbo, huu ni msiba.

akienda zanziba hua anafikia guest kwani kule hana kwao ni mzanzibar asiokua mkaazi kwa lugha yao wa zanzibar wenyewe
 
Kama JK haoni ndani basi hata Dr.Slaa haoni ndani kwa Salum, maana Dr.Slaa aligaragazwa vibaya na JK.

Naona unacheza ngoma husiyo ielewa,au kama unaielewa basi unajifanya kutoijua kuhusu matokeo ya mwaka huo.
 
akienda zanziba hua anafikia guest kwani kule hana kwao ni mzanzibar asiokua mkaazi kwa lugha yao wa zanzibar wenyewe

Kumbe mnajua kuwa znz ni taifa kamili,ilikuwaje kwenye bunge maalum la katiba mkakataa serikali tatu? Njia ya muongo nifupi ila tunafurahi kuwa ile katiba yenu ya kifisadi ndio imekufa kifo cha asili.
 
Nyerere siyo mbunge wa msimu,safari hii ushindi anatangaziwa mapema sana kabla waumini wa misa ya kwanza hawajamaliza kutoa sadaka
 
Musoma mjini ccm mwaka huu munafutika!!!tunamshukuru naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar Salum Mwalimu Karibu tena Musoma mjini..

Mkuu na hapo sioni mafuso ya kuwasomba watu kama wafanyavyo watu wa chama fulani kwenye mikutano yao.cdm siyo mchezo
 
kumfananisha Jk na mwalimu ni kumkosea mwalimu heshima..ukwel.ni.kwamba nafas ya urais kikwete ilimwangukia tuu hana credit za kuwa rais..cheo kikubwa kwake ilitakiwa iwe naibu wazir wa michezo

Teeeeh,teeeeh,teeeeh,mkuu umemaliza kila kitu hapo.
 
Bado sera yenu ya ukabila,ukanda,udini unatembea nato?
Chadema tunaujenga Muungano na kielelezo ni hiki kiongozi mkuu wa chama zanzibar anatembelea nchi nzima,sio ccm Naibu katibu Mkuu zanzibar hajawahi hata kuhutubia mjini korogwe

Magamba hayayaoni hayo kazi yao ni kukurupuka na kuweweseka.
 
Bado sera yenu ya ukabila,ukanda,udini unatembea nato?
Chadema tunaujenga Muungano na kielelezo ni hiki kiongozi mkuu wa chama zanzibar anatembelea nchi nzima,sio ccm Naibu katibu Mkuu zanzibar hajawahi hata kuhutubia mjini korogwe

Mkuu wao ni kupanga madili ya kubomoa bajeti ya maendeleo kwa wananchi hawana mpango wa kuwatembelea wananchi na kuongea nao ili kujua matatizo yao kama salum mwalimu anavyofanya
 
Back
Top Bottom