Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,709
- 3,028
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akionyesha magari yatakayotumiwa wakati wa mikutano ya wakuu wa Nchi na Serikali katika Nchi 16 za SADC, itakayofanyika Agosti 17 na 18, Mwaka huu.
Wazo: Ni bora wangetumia aina ya chombo cha usafiri chenye uwezo wa kubeba angalau watu 10+ ili kupunguza gharama zisizokuwa za lazima.
TOA MAONI YAKO....
Wazo: Ni bora wangetumia aina ya chombo cha usafiri chenye uwezo wa kubeba angalau watu 10+ ili kupunguza gharama zisizokuwa za lazima.
TOA MAONI YAKO....