Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Rais Kikwete alikuwa Kenya week chache zilizopita, tena state visit. Ni kitu gani hasa kinawindwa hapa? Kwenye protokali, sidhani kama ni sahihi kwa rais kukutana na upande mmoja wa wagombea angali ndio kwanza Kenya iko kwenye campaign.
Kwa maoni yangu, raisi wangu Kikwete haaminiki na pia ni kigeugeu katika medani za siasa, akisikia makelele tu kutoka upande wa pili usishangae kumuona mr. Agwash nae akipiga nae picha mtaa wa magogoni, tuvute subira kidogo.
Btw, wakenya wameipokeaje hii visit ya Uhuru Kenyata kwa raisi Kikwete Ab-Titchaz
Last edited by a moderator: