Mkutano wa Rais Kikwete na Uhuru Kenyatta kuibua mgogoro wa kidiplomasia?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kikwete urges Kenyans to unite ahead of polls


kikwete.jpg



Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta (second left) introduces the Kenyan delegation to Tanzania's President Jakaya Kikwete (left) at State House, Dar es Salaam on October 21, 2012. Photo/DPMPS



By NATION REPORTER
Posted Sunday, October 21 2012 at 17:20

In Summary




  • Kikwete also urged African states to accept the decision that Kenyans will make in the elections

Tanzania President Jakaya Kikwete on Sunday said Kenyans should be allowed to elect leaders in the next General Election without undue interference.

Mr Kikwete also urged African states to accept the decision that Kenyans will make in the elections.

Mr Kikwete was speaking after meeting a Kenyan delegation comprising of Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta and Justice Minister Eugene Wamalwa in State House, Dar es Salaam.

Kikwete urges Kenyans to unite ahead of polls - Politics - nation.co.ke



ICC: Uhuru takes TNA, URP team to Kikwete

hmpg221012_01.jpg


Updated Monday, October 22 2012 at 00:00 GMT+3

By Peter Opiyo

The Hague case against four Kenyans featured at a meeting between Mr Uhuru Kenyatta and Tanzania's President Jakaya Kikwete a day before ICC Prosecutor Fatou Bensouda arrives in Nairobi.

The Deputy Prime Minister flew to Tanzania to enlist Kikwete's support for his presidential bid and asked the international community to allow Kenyans elect their leaders without interference. Uhuru, who alongside Eldoret North MP William Ruto, is fighting to succeed President Kibaki while saddled with serious crimes against humanity charges, led a delegation that visited Kikwete that included Justice Minister Eugene Wamalwa, who is variously talked about as his likely running mate.

It is believed the Kenyan delegation, buoyed by the fact that Kikwete enjoys good relations with top Western capitals, and having played a key role in the stabilisation of Kenya following the 2008 post-election violence, chose Kikwete to send a message to ICC on the importance of having them run for the sake of Kenya's long-term stability and peaceful elections.

It is significant that Uhuru flew out a fortnight after former UN Secretary General Kofi Annan, who brokered Kenya's peace deal alongside Kikwete, was in Kenya with the message that an Uhuru or Ruto presidency would not augur well for Kenya in the eyes of the global community. Former Tanzania President Benjamin Mkapa, who worked on the peace agreement with Annan, was also in Kenya around that time, and it is believed his discussions with President Kibaki could have dwelt on the implication of ICC cases on the March 4, 2013 elections.

Specifically, Uhuru's delegation took issue with Annan's remarks that electing one of the ICC accused President, would not sit well with other nations.

A statement from Uhuru's Director of Communications Mr Munyori Buku entitled
"Kenyans are masters of their own destiny" read in part: "President Kikwete called for the respect of the "decision of the people of Kenya". He added Kenyans were the masters of their own destiny and must be allowed to elect their leaders without undue interference.

Buku went on: "The President pointed out that Africa would respect the decision Kenyans would make in the General Election in March next year."

Kikwete hosted the delegation from Uhuru's The National Alliance, Wamalwa's New Ford Kenya and Ruto's United Republican Party for a three-hour discussion at State House in Dar-es-Salaam. "Mr Kenyatta said his goal and that of like-minded leaders was to move the country forward in unity. To this end, he said, they were reaching out to leaders of other political parties," reported Buku.

On his recent visit to Kenya, Annan said: "Of course there are implications that everyone needs to ponder over suspects running for presidency." Immediately, his statement provoked Uhuru and Ruto who retorted it was time Annan kept off Kenya's affairs.

Uhuru then said he had friends who have not raised an issue with his election as President. And this may have been the statement that paved way for his visit to Tanzania.

"We have no problem with our friends, but if they do not respect us, it is up to them. We have many friends to work with all over the world," Uhuru said at a TNA meeting a week ago.

In Tanzania he is said to have repeated his comments to Kikwete, who said it was wrong for foreigners to interfere in Kenya's elections.

Uhuru was also accompanied by Medical Services Assistant minister Kazungu Kambi (representing URP) and MPs Rachael Shebesh and Moses ole Sakuda and former MP Abdullahi Ibrahim Ali. Kenya's High Commissioner to Tanzania, Mr Mutinda Mutiso was also present.

"Mr Uhuru was adamant and reiterated his public comments on Annan while Kikwete said people should be left to elect their leaders without interference," said Wamalwa's spokesman Mr Tony Gachoka.

At the meeting, Wamalwa is said to have promised to ask the Attorney General Githu Muigai to seek an interpretation of the Supreme Court of Chapter Six of the Constitution regarding integrity.

His argument is that elective positions are different from appointive ones and that precedents like the one that knocked off Mr Mumo Matemu as chairman of Ethics and Anti-Corruption Commission as well as Ms Nancy Baraza, who resigned as Deputy Chief Justice, should not be used when the court finally handles the case involving Uhuru and Ruto.

Civil Society groups have moved to court to challenge the eligibility of the two to vie for the presidency while the CJ has said the two cases set a good precedent on integrity and were a trailblazer.

"Mr Wamalwa made it clear that he will be asking the AG to ask the Supreme Court to interpret Chapter Six of the Constitution because he feels there is a difference between appointive and elective positions," Mr Gachoka told The Standard in Nairobi.

The two camps are anxious that the Judiciary may use Matemu's and Baraza's cases as precedents to block the two from getting their names on the ballot paper.
Gachoka claimed Wamalwa accused Annan of treating Kenyans as if he were a "prefect" yet it was Kikwete who got the two sides to agree to a deal.

Ms Bensouda's visit comes at a time Uhuru and Ruto are engaged in intensive campaigns for the presidency. The two, together with former Secretary to the Cabinet Francis Muthaura and Kass FM radio journalist Joshua Sang' are accused by The Hague-based court of being behind crimes against humanity committed in the 2008 post-poll upheavals.

During her visit the Prosecutor will meet President Kibaki and Prime Minister Raila Odinga and also travel to the Rift Valley to meet victims of the violence.
Phasiko Mochochoko, Head of the Jurisdiction, Complementarity and Cooperation Division of the ICC and Shamiso Mbizvo, Cooperation Adviser, will accompany Ms Bensouda.


In August, Ms Bensouda conceded some key witnesses in the Kenyan cases had been intimidated, compromised or threatened with death and execution, and feared this may undermine the two cases.


http://www.standardmedia.co.ke/?art...tle=ICC:-Uhuru-takes-TNA,-URP-team-to-Kikwete

MAONI:

Wakuu naomba niulize yafuatayo:

Rais JM Kikwete kakutana na hiki 'kikundi' kwa namna gani maana si wawakilishi wa serikali ya Kenya? Hela ya walipa kodi katika nchi zote mbili inaungua bure tu hapo. Uhuru Kenyatta si waziri wala lolote katika serikali ya Kenya. Sasa iweje leo kapeleka delegation yake ya kisiasa ikulu? Isije ikawa huyu bwana alikua amekuja kuangalia jinsi ya kuwahi ardhi Bongo maana nd'o michezo ya familia yao. Afu usipate pia eti Rais Kikwete naye kaafikiana na huyu bwana. Mchosho!

Pili ni udhaifu wa wakuu wa protokali kumuacha Rais kukutana na kambi moja (TNA/PNU ya Uhuru Kenyatta)ya siasa kutoka nchi jirani huku akijua wazi kua kuna kambi nyengine (ODM ya Raila Odinga). Hivi hajui kama anaji-potray kua keshalalia ubavu mmoja (Partisan)?Siasa za Kenya waachiwe wa-Kenya wenyewe na kama nikutoa ushauri basi shinikizo liwe katika utekelezaji wa kura katika njia zilizowazi na sio na utata kama ilivyokua 2007.

Hizi kauli za kusema eti sijui wakenya waruhusiwe kupiga kura 'without undue interference' zinajulikana wazi kua zinalenga katika kesi ya ICC dhidi ya Uhuru Kenyatta na William Ruto ambazo kwa kiwango fulani zitawazuia kugombea Urais hapo mwakani...lakini hio ni hadithi ya siku nyengine. Hapa pia handlers wa Rais Kiwete wanakosea kutompa ushairi kua aepukana na matamshi kama haya.

Hili genge la kina Uhuru Kenyatta lilijaribu kila mbinu kujaribu kuzuia hizi kesi kuendelea hadi kuwasilisha mswada AU lakini hawakufua dafu. Rais Kikwete is wading into waters he has no business wading into and somebody needs to tell him so.

Nawasilisha.
 
Rais Kikwete alikuwa Kenya week chache zilizopita, tena state visit. Ni kitu gani hasa kinawindwa hapa? Kwenye protokali, sidhani kama ni sahihi kwa rais kukutana na upande mmoja wa wagombea angali ndio kwanza Kenya iko kwenye campaign.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%.

Uhuru hana stahili yoyote ya kupokelewa ikulu na Head of State pamoja na delegation yake. Kwanza bado anayo kesi ya mauaji The Hague na pamoja kuwa ni mgombea urais kule kenya huu sio muda muafaka wa kuegemea kwake kwa ni kama Raila atashinda uchaguzi wakati atakuwa na fikra kwamba ss tulimsapoti Uhuru sijui itakuwaje?

kama ni muhimu sn Uhuru alitakiwa apokelewe na waziri yeyote na sio mkuu wa nchi, TUACHE kufanya taasisi ya Urais kuwa ni kitu RAHISI SANA.
 
This is one of the very big mistake ambayo Serikali ya JK imefanya, anaandaa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kukutana na Kenyataa, JK anashauriwa na nani? juzi mkapa na koffi anan walikuwa kenya na kibaki amegoma kukutana nao kwa makusudi sababu kibaki kwa namna fulani hataki kenyata apelekwe ICC , na Koffi anan amesema wazi ni lazima kenyata na ruto wasisishiliki uchaguzi sababu wataifanya Kenya itengwe na jumuia ya Kimataifa.

Matamshi ya JK ni matusi makubwa kwa Koffi Annan na Mzee Mkapa, si ajabu kikwete ameanza kuhisi kuwa naye atapelekwa ICC baada ya utawala wake. This is a diplomatic falier ya Taifa letu. ovyo kabisa.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe, ndiyo maana nilipinga sana bwana Kalonzo Musyoka alivyokuja Tanzania na kumpigia kampeini Kikwete. Kila mara, domestic electoral politics ziwe zinaachwa kuwa ni domestic kama inavyotakiwa iwe.
 
Tujikite zaidi katika mgogoro wa kidiplomasia wa hatua ya JK kukutana na hao jamaa wawili ikizingatiwa kuwa Msimamo wa wapatanishi waliokuwa Kenya Juzi Mzee Koffi Anan na Mzee Mkapa ni kuwa lazima watuhumiwa wa ghasia za Uchaguzi wapelekwe ICC na wasishiriki Uuchaguzi.

Msimamo wa Marekani na Ulaya ni huo pia kuwa Rutto na Kenyatta na kundi lao lazima waende ICC kwanza kabla ya uchaguzi. Tumeshuhudia Mzee Kibaki kwa makusudi akikwepa kukutana na Mkapa na Koffi na kwa wachambuzi wa mambo wanasema inatokana na Kibaki kumuunga mkono Kenyatta na muda mwingine anajaribu kupata mbadala Ndugu Musalia Mudavadi.

Kauli ya JK kuwa wakenya waachwe wajiamulie mambo yao, ni ya kuogofya sana na inaelekea kuiingiza Nchi yetu katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia na Wanasiasa wa Kenya( Raila na wengineo), na kama haitoshi pia Jumuia ya Kimataifa ni kama imetukanwa kwa Jk kukiuka msimamo wa wapatanishi wanaotaka Haki itendeke Kenya.

JK anashauriwa na nani? Nchi ina matatizo ya ndani ya kutosha kabisa lakini Mzee huyu anatuingiza tena kwenye Mgogoro wa kidiplomasia.

wenu phd.
 
Ab-Titchaz


Kenyatta apart from being a FINANCE MINISTER is Depty PRIME MINISTER @ the same time he's an Investor in TZ; Na Nadhani KIKWETE ile KAMPUNI ya MAZIWA yenye NGO'MBE wa kisasa ni ya familia ya KENYATTA na nadhani Walitaka ARDHI na DEAL na SERIKALI ya TANZANIA

80% Ni Hiyo Family Business Interests In Tanganyika; Ndicho kilochomleta

HAPO KIKWETE akatoa Sababu ya kutosign HIYO AGREEMENT... Lakini naona KENYATTA bado anaitaka kuja DAR?

SOURCE: INDIAN OCEAN INTELLIGENCE
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa huyu Kikwete amenufaika wa siasa za namna hiyo, ikumbukwe uchaguzi wa 2010 siasa za udini zilimnufaisha na sioni kama anaweza kukataa kumsaidia UK katika siasa zake za ukabila! Hatuna mtu pale Magogoni!
 
JK anashauriwa na nani? Nchi ina matatizo ya ndani ya kutosha kabisa lakini Mzee huyu anatuingiza tena kwenye Mgogoro wa kidiplomasia.

wenu phd.

Anashauriwa na banyamulenge pamoja na mafisadi papa walioko Canada si juzi tu alikuwa huko. Unauliza kama hujui angalia hisa zake kwenye migodi ya dhahabu pamoja na kuidororesha kampuni ya simu Tanzania. Ngoja atoke madarakani atakuwa kwenye njia ya kwenda kukabiliana na sheria.

Kenya nao wanamsikiliza kwa sababu ya kushadidia utajiri wanaopora kutoka Tanzania na shinikizo la makampuni makubwa yanayopora rasilimali za walipa kodi.

 
Atasingizia wapinzani kama alivyosema kuhusu mgogoro na Malawi.

Sijui kama JK huwa napata ushauri kutoka kwa wataalam wetu wa Diplomasia. Kinachoshangaza JK alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 mfululizo anajua maana ya Protocol kama kitu muhimu sana kwenye Mahusiano ya Kimataifa. Hakupaswa kukutana na hawa jamaa kama anavyofanya anapokutana na kina Lipumba au Maalim Seif.

Ninavyojua kwa siasa za Kenya zilivyo na mtifuano hili halitapita hivi hivi.
 
Hivi nyinyi Kenya bado mnamsikiliza huyu kilaza? Si huwa mnajidai sana kwamba mna uelewa zaidi chacha inakuwaje mnaanza kuwanga mchana kweupe kwenye debe tupu?
 
Siku watawala watakapojua kuwa mzaha kwenye mambo ya msingi ndipo watakapokoma kuleta maigizo kwenye mambo ya msingi.Sijawahi kuelewa wala kumwelewa kiongozi wa nchi hii huwa anfikiri nini kabla ya kuamua jambo zito aidha la kitaifa ama kitaifa.
 
Kwa msiojua, zile fedha za yule jamaa wa Arusha ni za Uhuru, ameziweka huku under safe custody just in case, Kenya haitakuwa safe!. US ndio walimgroom Uhuru for US interest na fedha zile zimetoka US!.

JK anachofanya kinaitwa "stake holders mapping", maadam Uhuru ni serious contender wa urais wa Kenya, its right JK kukutana na kambi yake na baada ya hapa kambi ya ODM nayo itabisha hodi ikulu.

Kabla ya Uchaguzi wa 2010, wanabalozi wa nchi za mabeberu, walishafanya "stake holders mapping" ya serious countenders wote ili kujua endapo watashinda, interests zao zitalindwa vipi!. Hata sasa tunapojipanga kuelekea 2015, wanabalozi wa nchi hizi mabeberu, wana watch very closely every move ili wam engage every possible winner for the sake of their interests!.

Kosa la JK labda ni meeting them public, sooner or letter, hata Chadema na CUF lazima vitafanya such meetings kwa sababu unaweza kuchagua rafiki, lakini huwezi kuchagua jirani!.
 
Hawa jamaa wanatuhumiwa kusababisha machafuko huko Kenya, JK anashabikia machafuko yanayoendelea hapa kwetu na yeye ndo chanzo. Kwa hiyo alikuwa anakutana na watu wenye nia moja na yeye.
 
Nimeamini TZ has a long way to go to be a real Country. Up to date hii ni nchi ya miujiza.
 
Mod. kuna thread ipo tayari katika jukwaa hili ikiongelea JK kukutana na Uhuru Kenyatta na Eugene Wamalwa, Ila kwa Mamlaka yako naomba thread hii uiache yenyewe ili wachangiaji wajikite zaidi katika mgogoro wa kidiplomasia wa hatua ya JK kukutana na hao jamaa wawili ikizingatiwa kuwa Msimamo wa wapatanishi waliokuwa Kenya Juzi Mzee Koffi Anan na Mzee Mkapa ni kuwa lazima watuhumiwa wa ghasia za Uchaguzi wapelekwe ICC na wasishiriki Uuchaguzi.

Msimamo wa Marekani na Ulaya ni huo pia kuwa Rutto na Kenyatta na kundi lao lazima waende ICC kwanza kabla ya uchaguzi.
Tumeshuhudia Mzee Kibaki kwa makusudi akikwepa kukutana na Mkapa na Koffi na kwa wachambuzi wa mambo wanasema inatokana na Kibaki kumuunga mkono Kenyatta na muda mwingine anajaribu kupata mbadala Ndugu Musalia Mudavadi.

Kauli ya JK kuwa wakenya waachwe wajiamulie mambo yao, ni ya kuogofya sana na inaelekea kuiingiza Nchi yetu katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia na Wanasiasa wa Kenya( Raila na wengineo), na kama haitoshi pia Jumuia ya Kimataifa ni kama imetukanwa kwa Jk kukiuka msimamo wa wapatanishi wanaotaka Haki itendeke Kenya.

JK anashauriwa na nani? Nchi ina matatizo ya ndani ya kutosha kabisa lakini Mzee huyu anatuingiza tena kwenye Mgogoro wa kidiplomasia.

wenu phd.

hapo naona Uhuru Kenyatta ametumwa na RUTTO aje kushawishi JK naye awashawishi WAPATANISHI{koffi Annan na MKAPA} wabadilishe TAMKO LAO la kuwataka washukiwa wapelekwe ICC na wasishiriki uchaguzi MKUU WA KENYA mwaka ujao.!!!!
Kibaki ni kabila moja na Uhuru Kenyatta na amekwepa lawama kwa Wakikuyu,ndio maana akawakwepa WAPATANISHI.!!
Sishangai KAULI YA Kikwete,kwani viongozi wa Afrika huwa wana kauli zenye utata[unakumbuka misimamo yao dhidi ya Gadaffi,Al Bashir,Mugabe,na wengineo.!!].
 
Kwa msiojua, zile fedha za yule jamaa wa Arusha ni za Uhuru, ameziweka huku under safe custody just in case, Kenya haitakuwa safe!. US ndio walimgroom Uhuru for US interest na fedha zile zimetoka US!.

JK anachofanya kinaitwa "stake holders mapping", maadam Uhuru ni serious contender wa urais wa Kenya, its right JK kukutana na kambi yake na baada ya hapa kambi ya ODM nayo itabisha hodi ikulu.

Kabla ya Uchaguzi wa 2010, wanabalozi wa nchi za mabeberu, walishafanya "stake holders mapping" ya serious countenders wote ili kujua endapo watashinda, interests zao zitalindwa vipi!. Hata sasa tunapojipanga kuelekea 2015, wanabalozi wa nchi hizi mabeberu, wana watch very closely every move ili wam engage every possible winner for the sake of their interests!.

Kosa la JK labda ni meeting them public, sooner or letter, hata Chadema na CUF lazima vitafanya such meetings kwa sababu unaweza kuchagua rafiki, lakini huwezi kuchagua jirani!.

Uhuru kaja kama Deputy PM according to the caption.

Kwa hiyo ni sawa hata wakikutana publicly kwa sababu hajaja kama mgombea, bali kama kiongozi.

Hata Obama akifanya ziara nje sasa hivi anapokewa rasmi, watu hawawezi kusema "tusimpokee rasmi kwa sababu uchaguzi uko karibu" kwa sababu kwa sasa ndiye rais, kama alivyo Uhuru kwa sasa Deputy PM.

Swali hapa labda liwe reciprocity, kwa nini tusione PM Pinda akimpokea Deputy PM WA Kenya na badala yake tunaona rais? Lbda washapokelewa na Pinda wanaenda ku pay a homage visit kwa rais na sio kwamba wanapokelewa rasmi na rais.Labda, maana Tanzania haina itifaki, hata meya wa Nairobi anaweza kupokelewa na rais wa Tanzania kama ana deal la kuvutia.

Hayo mambo ya deals na "stake holders mapping" tushayafanya tangu enzi za Mugabe anaishi Four flats Upanga anaendesha ki Volkswagen, Mondlane anaishi Kinondoni, Kabila anaishi Msasani, Museveni na Tito Okello wanaishi Upanga Mindu St, John Garang anaishi Upanga Mathuradas et cetera, et cetera, kwa hiyo Kikwete anayajua ukizingatia kashakaa Foreign Affairs miaka kumi akifundwa na Che Nkapa.
 
Back
Top Bottom