Karibu sana mkuu mbona huja tujulisha wenyeji mkuu....naomba ubadilishe rangi ya maneno haya: Big up watu wa ArNipo Ar tangu Ijumaa, nimeshuhudia mwamko usio wa kawaida hapa ambao sijauona sehemu nyingine yeyote Tz. Nimejifunza na kuwaona wanamapinduzi wa kweli Ar. They are very serious with what they are believing and doing. Kwa gharama yeyote pasipo kusukumwa na mtu wanajitoa ku-support CDM. Wako tayari kutembea kwa miguu umbali mrefu ku-support chama, kujitolea vyombo vyao vya usafiri, kuacha kazi zao n.k. Nimefika mahali pa kuona kuwa Ar itakuwa ni kiini cha ukombozi wa Tz toka makucha ya unyonyaji na ufisadi wa CCM. Ukiwa hapa you are proud to be CDM na ni aibu kuwa CCM. Laiti Wa-Tz wote wangekuwa hivi. Big up watu wa Ar.
Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko nakukataa mfumo kandamizi. Watakuwepo viongozi wakuu wa Chadema kitaifa kadhalika Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki.
Naomba kuwasilisha! Update baadaye.
Joshua Nassari apokelewa kwa vifijo na nderemo ni kwenye uwanja wa Leganga...
wana Arumeru wasema Jini CCM limewatoka
CCM wakimbia saa saba ya usiku kwenda Dar Es Salaam
Wanaarumeru wamtafuta Lusinde bila mafanikio
View attachment 50813
View attachment 50814
View attachment 50815
View attachment 50816
View attachment 50817
View attachment 50904
View attachment 50905
View attachment 50907