Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

kuna mkuu nime msahau jina aliwasilisha hapa jamvini kuwa anaenda kununua suti ya kuvaa kamanda nassari wakati akiapishwa naomba kumkumbusha asisahau kama senti zitapungua kdg makamanda tupo tutapiga mchango kama kawa pipoz power never giv up wera wera ,,,,,,nawasilisha
 
Dhuruma kwa wananchi ina mwisho.... Hayo aliyasema Harlod Macmillan na falsafa yake ya winds of change
 
Hongera CHADEMA,kwa kupata ubungu Arumeru East,na udiwani Songea mjini,Kiwira na Kirumba.Wito wangu kwa CHADEMA ni kuendelea kutoa elimu ya Uraia hasa vijijin kwan huko ndo kuna mtaji wa CCM.Viva CDM,hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
one of my greatest day in my life... CHADEMA..wana arumeru mmechagua... mmepata kiongozi,,, natamani nione mimba ya lusinde nafikiri karibu ajifungue
 
Hongera JOSHUA NASSARI na wapiganaji wote wa chadema kuanzia jeshi la ardhini mpaka angani
 
Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ninawapongeza kwa kuwa masikini walikula kodi yao live. Namaanisha MAGAMBA walitumia hela kuwahonga mabalozi bila kujua ya kuwa ya wanawapa nguvu PEOPLES POWER. Hizo hela ni jasho la watanzania Tanzania imeamka kudadeki. Kuna mizozo ya kijamii iliokuwa ikiendelea Longido na usuluhishi ulikosekana kwa sababu Mbunge alikuwa kwenye pilika za CCM huku wananchi wakikosa huduma muhimu. PEOPLE'S POWER NENDENI LONGIDO WANANCHI WAMECHOKA. Madiwani wote wa MAGAMBA walikuwa ARUMERU aliye waalika Hajulikani.
 
Hivi wazee? ule umilele wa Nape na GAMBA lake limeishia wapi? maana alitamba kuwa CCM itaongoza milele. Any body with news. i mean jinsi walivyotoweka eneo la tukio bila kupenda.
 
Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kike?
Ha ha ha!Inawezekana ulikuwepo?Nasikia upo.

Samahani bana,

Hii imekugusa sana, sikuisema kwa ubaya, sioni ni shida gani kuvutiwa na mdada mwenye less pimples.

Hongera cdm, mwenyekiti wa chama na wengineo.
 
Uchaguzi wa Arumeru Mashariki umetufunza mengi:
1. Kumbe japokuwa Watanzania tulimpenda sana Baba wa Taifa, lakini Ben alimpenda zaidi.
2. Tulikuwa tunajua kwamba Wasira na Lusinde wamechoka lakini siyo kwa kiwango kile!
3. Na mengineyo mengi kumhusu Lowasa aliyekatiza likizo nyake na ukimya na hatimaye ameonja joto ya jiwe

HONGERA SANA MHE. KIJANA MACHACHARI JOSHUA NASSARI, HONGERA SANA MHE. MCHG NTESE, HONGERA SANA MHE. VICENT NYERERE, HONGERA SANA MHE.MBOWE, HONGERA SANA KAMANDA DR. SLAA NA MUNGU AZIDI KUWAPIGANIA!
 
unavoongea hivi mgeongea hivi wakati wa kampeni mgeshindwa lakini kiutu. Unavoonyesha uungwana humu fanya hivo kwa wananchi make wapiga kura ndo members wa humu pia.
 
Daah! Hadi raha. Inatia moyo sana. It's time for liberation. Let's go CHADEMA!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…