Ilifunguliwa rasmi kama wiki mbili zilizo pita na ilirushwa na kituo ncha tekevisin ya Startv.....hii kitu inafanya vipi kazi zake,na mbona ipo kimya kimya??
Hakika ni siku njema na ya mafanikio sana kwa CDM. Nadhan safari ya mabadiliko ya kweli kuelekea 2015 imeanzia ARUMERU.
Sasa tunaomba CDM mkoa wa DSM, mtumie fursa hii kumleta Mh. Joshua N Dar es Salaam ili atambulishwe rasmi. Swala hili liende sambamba na utambulisho wa M4C pamoja na fund raising ktk jiji hili.
Hii itakuwa na manufaa makubwa sana kisiasa, ikiwapo kuamsha ari ya mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi mdogo ujao hapa DSM (Sege...)
Unafiki mtupu
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon
Yuko wapi TUNTEMEKE!!!
watu wengi wamepotea sababu ya kula Ban...watu kama kina FF,Mwita25,MS na wengineo wangechangamsha sana mijadala wakati wa uchaguzi wa arumeru..lets celebrate the trophy once again.
Nimependa ustaarabu wa Nchemba anaouonyesha leo. Huku ndiko kukomaa kisiasa!
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Kudadekiiiiiiiii!!
Ktk nusu saa kuanzia sasa ntakuwa nimetia nanga hapo!
Huu msako natamani ingeendelea mpaka 2015 bila ya kupumzika!
Hakika mafisadi mwisho wao hauko mbali hata punje!!
Huu ni msako wa lango hadi lango!
Uko sawa mkuu. Ukiona huwezi kuganda ndani ya barafu njia nzuri ni kujitoa kukimbilia joto. Ukiona yanazidi kuwa mkweli utakuwa huru.Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.