Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.
Sababu za kibinafsi zaidi au kibiashara.
Inaelekea wamezidiwa kete mahala fulani.
Na tujiulize kama wao (Kubenea and Co) ni vigogo wa "usafi" nchini.
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NNSF) limeandaa mkutano wa siku tatu na wahariri wa vyombo vya habari mjini Tanga.
Lakini taarifa zilizopatikana hivi sasa, zinasema baadhi ya wahariri wakiwamo wahariri wa gazeti pendwa la MwanHALISI wamegoma kuhudhuria mkutano huo kwa sabab unasimamiwa na kampuni ya G&S – Gideon Shoo na Salva Rweyemamu- kwa kile walichoita, wakurugenzi hao hawana hadhi ya kufundisha waandishi wa habari wala kusimamia maadili ya taaluma ya habari.
Wahariri waliogoma kuhudhuria mkutano huo, ni Saed Kubenea na Jabir Idrissa. Tayari barua yao ya kugoma kuhudhuria mkutano wameifikisha kwa Dk. Ramadhani Dau, mkurugenzi mkuu wa NSSF kwa mujibu wa habari za ndani ya NSSF wenyewe.

Tatizo la kufikiria kwa kutumia masaburi kwenye red highlight.
Hongereni waandishi wa Mwanahalisi! hakika ni jitihada tu za NSSF kuficha ufisadi wake mbele ya waandishi wa habari ambao bila sghaka watakuwa wamehongwa hela nyingi tu kama posho.
Hivi Dau anafahamu kwamba huyu Salva na Dr Shoo wameidhulumu sana michango ya wafanyakazi wa Habari Corporation miaka ile waliokuwa wakiiongoza? Michango ya wafanyakazi wengi sana ilikuwa haipelekwi, na Dau analifahamu hilo fika, lakini hakuchukuwa hatua ziozote!
Ni kweli Kubenea alikua akihudhuria semina za NSSF lakini this time kuna mambo yameibuka na yakimhusu Shoo wa G&S na hata wahariri wa Mwananchi, Tanzania Daima na Dira walioko Tanga watashituka kujua kwamba Shoo anahusika na kushitakiwa kwao.Huyo Kubenea ameanza lini kususia mikutano ya NSSF inayowahusu wahariri?
Miaka yote kampuni ya akina Shoo, inayofanya media consultancy, kwa NSSF, ndiyo imekuwa ikishirikiana na shirika hilo la hifadhi ya jamii kuandaa mikutano ya aina hii kila mwaka, na Kubenea amekuwa akihudhuria na hata ku-demand nyongeza ya allowances zinazotolewa na NSSF.
Kubenea aache unafiki!