Mkutano wa Mbunge wa Iringa Mjini Mch. Msigwa wadhihirisha kuwa upinzani umeimarika maradufu

Elice Elly,
Akienda bungeni akaulize pia pesa za rudhuku za chadema kuhodhiwana mbowe pekee wakati ni kodi yetu je nihalali?

Wananchi hawajamtuma hilo bungeni, kama ni hela za cdm wanahojiana kwenye vikao vyao vya ndani ya chama. Ila bado sio shida, mbunge yoyote wa ccm anaweza kuhoji hilo.
 
Inahitajika nguvu ya pekee sana kuaminisha umma kuwa upinzani umekufa. Wananchi wa Iringa mjini wamejitokeza kwa wingi Sana kumsikiliza Mbunge wao Mh. Peter Msigwa.

Tofauti na matarajio ya wengi,na pamoja na mvua kunyesha wananchi walimwambia Mbunge wao aendelee kuhutubia kwani wao hawapo tayari kukimbia mvua.

Wananchi wa Iringa mjini wamemtuma Mbunge wao akaulize bungeni maswali kadhaa yanayowatatiza. Wamemtuma akaulize:-

(1) Serikali imesema matibabu kwa mama mjamzito na mtoto chini ya miaka mitano ni bure, mbona wakienda Hospitali wanatozwa hela?

(2) Serikali inasema elimu kwa Shule za msingi ni bure, mbona wanalazimishwa kulipia baadhi ya ikiwa pamoja na fomu za kujiunga?

Kwa hali ya mkutano wa leo inahitajika nguvu ya pekee sana kuamini kuwa Upinzani umekufa.

View attachment 1313447View attachment 1313450View attachment 1313451View attachment 1313452

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mtu yeyote mwenye akili tiamammu akitamka au kuambiwa kitu ni bure lazima aulize bure kuanzia wapi hadi wapi? huwezisema elimu bure wakti hata nauli wanalipishwa, hata uji hawapewi? sema elimu bila ada maana cha bure pale ni ada basi
 
Inahitajika nguvu ya pekee sana kuaminisha umma kuwa upinzani umekufa. Wananchi wa Iringa mjini wamejitokeza kwa wingi Sana kumsikiliza Mbunge wao Mh. Peter Msigwa.

Tofauti na matarajio ya wengi,na pamoja na mvua kunyesha wananchi walimwambia Mbunge wao aendelee kuhutubia kwani wao hawapo tayari kukimbia mvua.

Wananchi wa Iringa mjini wamemtuma Mbunge wao akaulize bungeni maswali kadhaa yanayowatatiza. Wamemtuma akaulize:-

(1) Serikali imesema matibabu kwa mama mjamzito na mtoto chini ya miaka mitano ni bure, mbona wakienda Hospitali wanatozwa hela?

(2) Serikali inasema elimu kwa Shule za msingi ni bure, mbona wanalazimishwa kulipia baadhi ya ikiwa pamoja na fomu za kujiunga?

Kwa hali ya mkutano wa leo inahitajika nguvu ya pekee sana kuamini kuwa Upinzani umekufa.

View attachment 1313447View attachment 1313450View attachment 1313451View attachment 1313452

Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi mbaya sana!! Hii ndio unaita nyomi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndiyo mtakoma sasa endeleeni na wapinzani wenu
Tupo tayari tukose huduma lakini tumchague mpinzani tunayemtaka, kwa kulijua hili kiwa hatutaletewa huduma, tutajihudumia kwa kuchangishana,

Tutayaendeleza majimbo yetu kuliko Yale ya maccm mpaka tutakapopata Uhuru kamili
 
Ni kweli bangi mbaya sana hasa pale unapovuta mpaka unashindwa kuona
 
Hayo maneno hata wana KANU walikuwa wanayasema sana leo hii wamekuwa wapolee huku wakikimbizana na ugali ambao umekuwa ni shida kuuweka mezani
Tatizo lenu siasa zenu ni za nyuma ya keyboard mpo mbali sana na reality kwa maana ya siasa halisi za huko Tanzania kwenyewe.
 
Inahitajika nguvu ya pekee sana kuaminisha umma kuwa upinzani umekufa. Wananchi wa Iringa mjini wamejitokeza kwa wingi Sana kumsikiliza Mbunge wao Mh. Peter Msigwa.

Tofauti na matarajio ya wengi,na pamoja na mvua kunyesha wananchi walimwambia Mbunge wao aendelee kuhutubia kwani wao hawapo tayari kukimbia mvua.

Wananchi wa Iringa mjini wamemtuma Mbunge wao akaulize bungeni maswali kadhaa yanayowatatiza. Wamemtuma akaulize:-

(1) Serikali imesema matibabu kwa mama mjamzito na mtoto chini ya miaka mitano ni bure, mbona wakienda Hospitali wanatozwa hela?

(2) Serikali inasema elimu kwa Shule za msingi ni bure, mbona wanalazimishwa kulipia baadhi ya ikiwa pamoja na fomu za kujiunga?

Kwa hali ya mkutano wa leo inahitajika nguvu ya pekee sana kuamini kuwa Upinzani umekufa.

View attachment 1313447View attachment 1313450View attachment 1313451View attachment 1313452

Sent using Jamii Forums mobile app
Amefanya mkutano kwenye hii nchi ya kidikteta na hajazuiliwa kwa ambush?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reality ya kuwa wagombea wa upinzani hawajui kuandika majina yao ila waccm ndio wanajua.
Reality ya kulalamika wakati JPM anapiga kazi, reality ya kukubali kuwa wanaharakati wa kudumu wakati JPM anaendelea kuijenga reli ya kisasa,

Ukipita pale karibu na taa za kituo cha mwendokasi gerezani unaona kinachoendelea.
 
Kwa hali ya mkutano wa leo inahitajika nguvu ya pekee sana kuamini kuwa Upinzani umekufa.

Jr
 
Reality ya kulalamika wakati JPM anapiga kazi, reality ya kukubali kuwa wanaharakati wa kudumu wakati JPM anaendelea kuijenga reli ya kisasa,

Ukipita pale karibu na taa za kituo cha mwendokasi gerezani unaona kinachoendelea.
wanafunzi.jpg

Reality ni hii hapa, wacha hivyo vimulimuli vinavyokudanganya na kumsifu mwanaume mwenzako usiku kucha
Ati J.P anapiga kazi wapi?...kitandani?!
 
Back
Top Bottom