Mkutano wa Kinana Mbeya aibu tupu

1.+Katibu+Mkuu+wa+CCM,+Abdulrahman+Kinana+akihutubia+mkutano+wa+hadhara+katika+Uwanja+wa+Maombi,+Kata+ya+Mbalizi,+Mbeya+Vijijini.jpg
Wamejaa wanachama wa ccm tu ... na hao watakuwa wamepigwa mkwara kuwa ambaye hatahudhuria hatapata mgao wake wa tishirt na kanga mwisho wa mwaka....
 
Fuso zilikuwa zinasomba watu lakini raia wamegoma kupanda magari aina hiyo wanataka v8

Kuna uzi nilitupia humu mapema,nikiljulisha jukwaa la siasa kwa "maccm Mbeya wamekua waaarabu kwani leo wametumia Hice kuwaeta watu kutoka vijijii. Mkutano wa leo ulikuwa wageni kotka vijijini.
 
Kinana hatasahau leo apa mbeya kwa nguvu aliotumia na idadi ya wahuzuliaji hapana ccm wamefanyiwa hujuma sio bure
Kwa hiyo hata walio lipiwa fedha malori ili waweze kusombwa nao wamegoma Zambi amesahau kwamba kila siku wanamliza hapo mbeya Tunduma walitoa watu mbarali kwela chunya kuwapeleka huko najiuliza kitu gani kimempata
 
MBEYA 04 DEC 2013 - 2.jpg


mODS MBONA HIVI PUNDE NILIZIWEKA HAPA PICHA ZA MKUTANO WA UHAKIKA WA LEO MBEYA, MBONA ZIMEONDOLEWA
 

Attachments

  • MBEYA 04 DEC 2013.MEETING WITH TAZARA EMPLOYEES.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.MEETING WITH TAZARA EMPLOYEES.jpg
    55.1 KB · Views: 67
  • MBEYA 04 DEC 2013.- 3.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.- 3.jpg
    66.9 KB · Views: 68
  • MBEYA 04 DEC 2013.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.jpg
    70.8 KB · Views: 72
Adabu gani hiyo, yaani Kinana akalia chakula kwenye meza halafu ndo kafanya jukwaa la kuhutubia, jamani aibuuu wanaccm mbeya wameshindwa hata kufuta meza baada ya kula.
Tizameni hiyo picha vizuri. CCM kumbe ni wachafu wakutupwa.
 
Back
Top Bottom