Mkutano wa Kinana Mbeya aibu tupu

Mkutano wa Kinana Mbeya aibu tupu

Kamanda unajua huku kwetu mbeya tumegundua dawa ya nyoka ni kuponda kichwa sasa maccm mbeya sawa na linyoka lililopondwa kichwa
HA! HA! HA! HA! kamanda UMEYAMALIZA MAGAMBA VIBAYA MNO !
 
1.+Katibu+Mkuu+wa+CCM,+Abdulrahman+Kinana+akihutubia+mkutano+wa+hadhara+katika+Uwanja+wa+Maombi,+Kata+ya+Mbalizi,+Mbeya+Vijijini.jpg
Wamejaa wanachama wa ccm tu ... na hao watakuwa wamepigwa mkwara kuwa ambaye hatahudhuria hatapata mgao wake wa tishirt na kanga mwisho wa mwaka....
 
Watu wamekataa malori wanataka V8! nimeipenda hiyo
 
Fuso zilikuwa zinasomba watu lakini raia wamegoma kupanda magari aina hiyo wanataka v8

Kuna uzi nilitupia humu mapema,nikiljulisha jukwaa la siasa kwa "maccm Mbeya wamekua waaarabu kwani leo wametumia Hice kuwaeta watu kutoka vijijii. Mkutano wa leo ulikuwa wageni kotka vijijini.
 
Kinana hatasahau leo apa mbeya kwa nguvu aliotumia na idadi ya wahuzuliaji hapana ccm wamefanyiwa hujuma sio bure
Kwa hiyo hata walio lipiwa fedha malori ili waweze kusombwa nao wamegoma Zambi amesahau kwamba kila siku wanamliza hapo mbeya Tunduma walitoa watu mbarali kwela chunya kuwapeleka huko najiuliza kitu gani kimempata
 
Huu NDIO MKUTANO WA MBEYA LEO, UNAWEZA KUONA PICHA ZOTE KWENYE MICHUZI BLOGG, MKUTUNA ULIKUWA MKUBWA SANA.

NUFAIKA HAPA : MICHUZI BLOG


8.jpg



6.jpg


7.jpg


2.jpg
 
MBEYA 04 DEC 2013 - 2.jpg


mODS MBONA HIVI PUNDE NILIZIWEKA HAPA PICHA ZA MKUTANO WA UHAKIKA WA LEO MBEYA, MBONA ZIMEONDOLEWA
 

Attachments

  • MBEYA 04 DEC 2013.MEETING WITH TAZARA EMPLOYEES.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.MEETING WITH TAZARA EMPLOYEES.jpg
    55.1 KB · Views: 76
  • MBEYA 04 DEC 2013.- 3.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.- 3.jpg
    66.9 KB · Views: 77
  • MBEYA 04 DEC 2013.jpg
    MBEYA 04 DEC 2013.jpg
    70.8 KB · Views: 83
mY APPOLOGIES MOD AND MANY THANKS FOR YOUR WONDERFUL SUPPORT
 
Adabu gani hiyo, yaani Kinana akalia chakula kwenye meza halafu ndo kafanya jukwaa la kuhutubia, jamani aibuuu wanaccm mbeya wameshindwa hata kufuta meza baada ya kula.
Tizameni hiyo picha vizuri. CCM kumbe ni wachafu wakutupwa.
 
Back
Top Bottom