Mkutano wa Kinana huko Ulanga wadoda!

Mkutano wa Kinana huko Ulanga wadoda!

Jaribuni kuwatendea haki vyama vya upinzani. Kuwabeza CCM kwa njia za spinning kama hizi haziwezi kuondoa ukweli ulioko ground zero. Kuwaamisha vyama vya upinzani kama CCM imechokwa ni kuwajaza fikra za kijinga kwenye ukweli ili tu wajisikie vizuri kwa muda.

Kukipata chama cha mapinduzi kilipo, vyama vya upinzani lazima vifanye kazi zaidi ya mara tatu ya CCM ukichukulia advantage ambayo CCM inayo kwenye ulingo wa kisiasa na muda uliobakia kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu, otherwise, come 2016, Vyama hivi hivi vya upinzani vitajikuta vikirumbana tena bungeni kupata kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.

Safari ya Kinana inamfikisha mpaka kwenye mashina ya chama chake kuyaimarisha na siyo kuyafungua kama hii picha chini inavyoonyesha akiwa kwenye shina namba 15, Kilosa, Morogoro.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    58.8 KB · Views: 72
  • image.jpg
    image.jpg
    60.6 KB · Views: 196
Jaribuni kuwatendea haki vyama vya upinzani. Kuwabeza CCM kwa njia za spinning kama hizi haziwezi kuondoa ukweli ulioko ground zero. Kuwaamisha vyama vya upinzani kama CCM imechokwa ni kuwajaza fikra za kijinga kwenye ukweli ili tu wajisikie vizuri kwa muda.

Kukipata chama cha mapinduzi kilipo, vyama vya upinzani lazima vifanye kazi zaidi ya mara tatu ya CCM ukichukulia advantage ambayo CCM inayo kwenye ulingo wa kisiasa na muda uliobakia kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu, otherwise, come 2016, Vyama hivi hivi vya upinzani vitajikuta vikirumbana tena bungeni kupata kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.

Safari ya Kinana inamfikisha mpaka kwenye mashina ya chama chake kuyaimarisha na siyo kuyafungua kama hii picha chini inavyoonyesha akiwa kwenye shina namba 15, Kilosa, Morogoro.

Ukweli uliopo ground zero ni kwamba CCM imechokwa na inachukiwa. Huyu anayeonekana kwenye hii picha ni katibu mkuu wa chama. Naomba uweke picha yeyote ya katibu mkuu wa CDM akiwa shinani tufananishe..., kama unataka tuongee kwa picha.
 
Katiba ya CHADEMA haitambui mashina. Sasa sijui unataka niitoe wapi hiyo picha!!.
 
Kinana must be very proud for the crowd he had.......the ground was filled to capacity up to the rafters!

attachment.php
 
jamani ulikuwa na watoto tu chini ya miaka 18 sijui wamewatoa wapi pamoja na vikongwe kiujumla ni aibu jamani.

Mkuu acha unafiki bwana hivi uongo mmeuzoea au?
Mbona mimi nilikuwepo mkutanoni watu walikuwa wengi
au unaogopa wanywa viroba wa jf kutoka chadema watakutukana ukiongea ukweli?
Au ndo kawaida ya wanachadema kuropoka ili mpate umaarufu daa mkuu acha kutuongopea
 
Ili kumuaibisha tuwekee picha.....sio kupinga tu bila evidence!
 
Ok... Kumbe ulipotoa picha na hoja za CCM kuwa kwenye mashina kuifananisha na CDM ulikuwa unafananisha mbuzi na kondoo?
Tatizo lako kwa vile hujaelewa nilichokiandika unataka kulazimisha nifanye kile ulichokielewa.

Elewa kwanza bandiko langu ndipo upate chanzo cha kujenga hoja yako, zaidi ya hapo utakuwa ni ubishi
 
Katiba ya CHADEMA haitambui mashina. Sasa sijui unataka niitoe wapi hiyo picha!!.

Ni kweli bado ilikuwa haijajikita shinani...cha kushangaza hadi huko mashinani mtu akigombea na kuvaa gwanda anatikisa...nenda kaulize Lushoto ngome ya CCM.
 
na mie nilivyosikia anapita karibu na selou niliangua kilio maana tembo 100 wangeondoka jambazi kubwa hilo
Kinana akuvyoenda ruaha nilikuwa naogopa twmbo wetu..maskini tembo wetu wakimuona kinana wanakimbia, hilu jangili litamaliza tembo wetu.
 
Jaribuni kuwatendea haki vyama vya upinzani. Kuwabeza CCM kwa njia za spinning kama hizi haziwezi kuondoa ukweli ulioko ground zero. Kuwaamisha vyama vya upinzani kama CCM imechokwa ni kuwajaza fikra za kijinga kwenye ukweli ili tu wajisikie vizuri kwa muda.

Kukipata chama cha mapinduzi kilipo, vyama vya upinzani lazima vifanye kazi zaidi ya mara tatu ya CCM ukichukulia advantage ambayo CCM inayo kwenye ulingo wa kisiasa na muda uliobakia kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu, otherwise, come 2016, Vyama hivi hivi vya upinzani vitajikuta vikirumbana tena bungeni kupata kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.

Safari ya Kinana inamfikisha mpaka kwenye mashina ya chama chake kuyaimarisha na siyo kuyafungua kama hii picha chini inavyoonyesha akiwa kwenye shina namba 15, Kilosa, Morogoro.

Na haya uliozungumza hapa ni what you still think of...na wala sio what is happening....unaweza ukachukulia uchaguzi wa vijiji uliofanyika hivi majuzi mkoani Kagera na wilayani Lushoto!
 
Jamani ile miezi 6 waliotuahidi na mwenzake MANGULA inatimia lini..
 
Na haya uliozungumza hapa ni what you still think of...na wala sio what is happening....unaweza ukachukulia uchaguzi wa vijiji uliofanyika hivi majuzi mkoani Kagera na wilayani Lushoto!
Ungekuwa ni mtaalamu wa mambo ya siasa, usingechukulia matokeo ya mid-term local election kama ni angalizo la overall trendy of Tanzania politics against ruling party.

By the way, kwani matokeo ya udiwani ya midterm Tanzania yalikuwaje?
 
Ni kweli bado ilikuwa haijajikita shinani...cha kushangaza hadi huko mashinani mtu akigombea na kuvaa gwanda anatikisa...nenda kaulize Lushoto ngome ya CCM.
Muundo wa CHADEMA hauna mashina na haitambui mashina. Soma kwanza katiba ya CHADEMA ili upate upeo kukuwezesha kuitetea kwa mapana zaidi bila kuonekana kama mmoja wa mashabiki wa kila siku hapa JF
 
Wananchi ndio walikuwa wanapata mlo wa mchana hivyo wasingeweza kwenda kwa mkutano
 
Naipenda sana Morogoro Mkuu. Sidhani kuna mahali katika Tanzania utapata mboga za majani fresh mwaka mzima kama zile mboga za majani kutoka vijito vya ile milima majestic. I really enjoyed my work there for two years. It was beautiful! Wanadamu tungeweza ku-rewind clock ningehamia karibu na Rock Garden nikiwa 35 na kubaki pale for ever!

Mboga kama lihoho, lichulu, limwidu, lidadangala na nyingine kibao! Chezea moro weye!
 
Haya lazima yatakuwa majina ya Kiruguru haya...mi nilikuwa nakula tu. Ujue supu ya mboga za majani ipo very enriching katika mwili. Siku njema Mkuu.
 
Hivi mbona wanahudhuria mikutano ya CCM karibu wote wanakuwa na jezi mpya za CCM!!! Hazichakai!!!!!? Au wanagawiwa siku ya meeting??
Wana pair zaidi ya 3
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom