Mkutano wa jana wa CCM, mtoa hoja mmoja muamuzi mmoja

Yani Jana nimefuatilia mkutano wa CCM jana, kiukweli nimegundua kuwa vikao vyote vya CCM vya sasa vimekosa mvuto Kabisaaa, hiii ni kutokana na namna vinavyoendeshwa, haihitaji akili kugundua kuwa Mwenyekiti ndie muamuzi wa kila kitu na wajumbe wanaenda tu kwa kutimiza takwa la kuitwa Kamati, mfano Mwenyekiti alileta hoja ya kusamehewa Kinana. Ukiangalia alivyoileta inaonesha kuwa hata alipofukuzwa atakuwa aliileta yeye maaana alianza kwa nini ameileta kisha akauliza wajumbe mnakubali wajumbe? Wachache wakasema ndio akaaanza kumuongelea Saana Kinana, namna alivyokuwa anamuongelea watoto wa mjini tunasema ni kinafiki wakati inaonesha ndio yeye aliemfukuza.

Pili alipoulizwa issue ya wapinzani kupewa nafasi na kuwaacha wanaCCM watiifu yeye hakulitaka lijadiliwe wala kutaka litolewe maoni, matokeo yake alionesha wazi kuwa Jambo hilo linasimamiwa na yeye yaani yeye ndie aliesema kuwa wapewe wapinzani, Mwenyekiti alionesha dhahiri kuwa Jambo hilo haliwezi kubadilishwa na kidogo akasirike.

Hii inaonesha kuwa maaamuzi yoooote Yanayohusu CCM anayo mtu mmoja tu sio kamati wala wajumbe, hii imerudisha CCM nyuma Sana, CCM ilikuwa na mfumo mzuri sana na inaonesha kuwa kwa sasa ili uwe Mbunge wa CCM itakulazimu uwe na ukaribu wa hali ya Juu na mtu mmoja tu Mwenyekiti, hii tabia alikuwa nayo Mbowe ila sasa kwa sasa anaonekana ni afadhali kuliko huyu Mwenyekiti.
To be honest...namuona Magufuli sio mnafiki kabisa na ni kiongozi mzuri. Tuweke kando mapungufu yake maana hata wewe ukuwa kiongozi utakuwa nayo.

1. Jana yule mzanzibar alipotaka kuutumia uccm aonekane amedhalilisha kwa bus kujaza. Nilipenda jibu la Magufuli saana. CCM ni pamoja na kufuata sheria. Tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kusema hili hata mbele ya wajumbe wote.

2. Lingine hilo ulilotaja...jibu lake halikuwa kinafiki kabisa..CCM ni ya wote. Haiangalii umejiunga lini au wewe ni nani. Wananchi wanakupenda uwe kiongozi basi uwe.
 
Mwaka huu ndo mtaona subottage halisi ya wana CCM halisi dhidi ya Chama Chao.

Mwaka huu ndo mtaona wana CCM wanasuport upinzani mchana kweupe huku wakipinga ubabe wa viongozi wao.
Ndo mana nasisitiza hakuna mwaka ambao ni rahisi katika kuiondoa CCM madarakani kama mwaka huu.

Upinzani unahitaji kuhamasisha nguvu ya umma tu katika kupiga kura, kulinda uhesabuji wa kura na kulinda utangazaji wa matokeo.
Pokea pongezi zangu kwa asilimia 100 👍
 
Yani Jana nimefuatilia mkutano wa CCM jana, kiukweli nimegundua kuwa vikao vyote vya CCM vya sasa vimekosa mvuto Kabisaaa, hiii ni kutokana na namna vinavyoendeshwa, haihitaji akili kugundua kuwa Mwenyekiti ndie muamuzi wa kila kitu na wajumbe wanaenda tu kwa kutimiza takwa la kuitwa Kamati, mfano Mwenyekiti alileta hoja ya kusamehewa Kinana. Ukiangalia alivyoileta inaonesha kuwa hata alipofukuzwa atakuwa aliileta yeye maaana alianza kwa nini ameileta kisha akauliza wajumbe mnakubali wajumbe? Wachache wakasema ndio akaaanza kumuongelea Saana Kinana, namna alivyokuwa anamuongelea watoto wa mjini tunasema ni kinafiki wakati inaonesha ndio yeye aliemfukuza.

Pili alipoulizwa issue ya wapinzani kupewa nafasi na kuwaacha wanaCCM watiifu yeye hakulitaka lijadiliwe wala kutaka litolewe maoni, matokeo yake alionesha wazi kuwa Jambo hilo linasimamiwa na yeye yaani yeye ndie aliesema kuwa wapewe wapinzani, Mwenyekiti alionesha dhahiri kuwa Jambo hilo haliwezi kubadilishwa na kidogo akasirike.

Hii inaonesha kuwa maaamuzi yoooote Yanayohusu CCM anayo mtu mmoja tu sio kamati wala wajumbe, hii imerudisha CCM nyuma Sana, CCM ilikuwa na mfumo mzuri sana na inaonesha kuwa kwa sasa ili uwe Mbunge wa CCM itakulazimu uwe na ukaribu wa hali ya Juu na mtu mmoja tu Mwenyekiti, hii tabia alikuwa nayo Mbowe ila sasa kwa sasa anaonekana ni afadhali kuliko huyu Mwenyekiti.
Hakuna chama tena hapo ni NGO ya Mwenyekiti
 
Mimi alinichekesha yule mzee analalamika wamesimamishwa kwenye mzani, magu anavyopenda barabara zake alivyomkatisha nahisi mzee atakuwa alitukana moyoni
Yule Mzee dishi limeyumba no signal, yaani wasisimamishwe kwenye mizani kwakua wa ni Wajumbe wa CCM.
 
Yani Jana nimefuatilia mkutano wa CCM jana, kiukweli nimegundua kuwa vikao vyote vya CCM vya sasa vimekosa mvuto Kabisaaa, hiii ni kutokana na namna vinavyoendeshwa, haihitaji akili kugundua kuwa Mwenyekiti ndie muamuzi wa kila kitu na wajumbe wanaenda tu kwa kutimiza takwa la kuitwa Kamati, mfano Mwenyekiti alileta hoja ya kusamehewa Kinana. Ukiangalia alivyoileta inaonesha kuwa hata alipofukuzwa atakuwa aliileta yeye maaana alianza kwa nini ameileta kisha akauliza wajumbe mnakubali wajumbe? Wachache wakasema ndio akaaanza kumuongelea Saana Kinana, namna alivyokuwa anamuongelea watoto wa mjini tunasema ni kinafiki wakati inaonesha ndio yeye aliemfukuza.

Pili alipoulizwa issue ya wapinzani kupewa nafasi na kuwaacha wanaCCM watiifu yeye hakulitaka lijadiliwe wala kutaka litolewe maoni, matokeo yake alionesha wazi kuwa Jambo hilo linasimamiwa na yeye yaani yeye ndie aliesema kuwa wapewe wapinzani, Mwenyekiti alionesha dhahiri kuwa Jambo hilo haliwezi kubadilishwa na kidogo akasirike.

Hii inaonesha kuwa maaamuzi yoooote Yanayohusu CCM anayo mtu mmoja tu sio kamati wala wajumbe, hii imerudisha CCM nyuma Sana, CCM ilikuwa na mfumo mzuri sana na inaonesha kuwa kwa sasa ili uwe Mbunge wa CCM itakulazimu uwe na ukaribu wa hali ya Juu na mtu mmoja tu Mwenyekiti, hii tabia alikuwa nayo Mbowe ila sasa kwa sasa anaonekana ni afadhali kuliko huyu Mwenyekiti.
Nilichoona ni kifo cha chama cha siasa kinachoitwa ccm. Sasa ni kikundi cha mwenye mamlaka
 
To be honest...namuona Magufuli sio mnafiki kabisa na ni kiongozi mzuri. Tuweke kando mapungufu yake maana hata wewe ukuwa kiongozi utakuwa nayo.

1. Jana yule mzanzibar alipotaka kuutumia uccm aonekane amedhalilisha kwa bus kujaza. Nilipenda jibu la Magufuli saana. CCM ni pamoja na kufuata sheria. Tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kusema hili hata mbele ya wajumbe wote.

2. Lingine hilo ulilotaja...jibu lake halikuwa kinafiki kabisa..CCM ni ya wote. Haiangalii umejiunga lini au wewe ni nani. Wananchi wanakupenda uwe kiongozi basi uwe.
Fikiri tena
 
Yani Jana nimefuatilia mkutano wa CCM jana, kiukweli nimegundua kuwa vikao vyote vya CCM vya sasa vimekosa mvuto Kabisaaa, hiii ni kutokana na namna vinavyoendeshwa, haihitaji akili kugundua kuwa Mwenyekiti ndie muamuzi wa kila kitu na wajumbe wanaenda tu kwa kutimiza takwa la kuitwa Kamati, mfano Mwenyekiti alileta hoja ya kusamehewa Kinana. Ukiangalia alivyoileta inaonesha kuwa hata alipofukuzwa atakuwa aliileta yeye maaana alianza kwa nini ameileta kisha akauliza wajumbe mnakubali wajumbe? Wachache wakasema ndio akaaanza kumuongelea Saana Kinana, namna alivyokuwa anamuongelea watoto wa mjini tunasema ni kinafiki wakati inaonesha ndio yeye aliemfukuza.

Pili alipoulizwa issue ya wapinzani kupewa nafasi na kuwaacha wanaCCM watiifu yeye hakulitaka lijadiliwe wala kutaka litolewe maoni, matokeo yake alionesha wazi kuwa Jambo hilo linasimamiwa na yeye yaani yeye ndie aliesema kuwa wapewe wapinzani, Mwenyekiti alionesha dhahiri kuwa Jambo hilo haliwezi kubadilishwa na kidogo akasirike.

Hii inaonesha kuwa maaamuzi yoooote Yanayohusu CCM anayo mtu mmoja tu sio kamati wala wajumbe, hii imerudisha CCM nyuma Sana, CCM ilikuwa na mfumo mzuri sana na inaonesha kuwa kwa sasa ili uwe Mbunge wa CCM itakulazimu uwe na ukaribu wa hali ya Juu na mtu mmoja tu Mwenyekiti, hii tabia alikuwa nayo Mbowe ila sasa kwa sasa anaonekana ni afadhali kuliko huyu Mwenyekiti.
It shows kwenye nchi nzima mwenye mbo.o ni mtu mmoja,wengine wote wanawake!

It is a tragedy if you ask me!
 
Back
Top Bottom