Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma 7th Dec. 2013

Dr Slaa is my President! Really this courage of going to Kigoma shows really we have a "down to earth" leader!! Achana na magamba na Rais wao aka "Mkiti wa Miss Tanzania" - by Ibrahim Lipumba
Hongera njoo j3 uwanja wataifa umshuhudie akipigiwa mizinga 21
 
Mola ibariki Tanzania,
Ibariki CDM.
 
Mkuu hiyo nyekundu ni KWAGA si Kagwa.
 
Dr endelea kufunika maana kinana leo ameumbuka alitaka kuhutubia Njombe,watu hawa kufika,makada wakatuma fuso zikasombe Lupembe na Matembwe mvua imenyesha fuso zime kwama kwenye matope.Nasikia anataka a sepe.
 
Yani hata gari lao likipata pancha tu, wanasema ni CCM khaaa!!!
Ndiyo kilicho baki kwa maccm,mbinu tu.Angalia wanavyo muumbua waziri mkuu wao.wanasema hatoshi.
Si tulimgundua ni feki alipo sema piga tu!Kangi Lugola amesema Pinda ni zigo zito kwenye serikali.ndiyo maana naona una shabikia ujinga tu
 
Siku zote cdm ni wepesi wa kuweka story na picha hata kama za zamani, lakini safari hii kwa Kigoma ni porojo tu. Kuna aibu tupu huko.
 
Nikusaidie tu kidogo Kata na kijiji kinaitwa Kwaga na sio Kwagwa. Pia mkutano wa kwanza aliufanya kata ya Kitanga sio Kikanga. Ila Ni Ukweli kwamba watu walikuwa wengi sana tena tena sana. Pia Viongozi wa Kata ya Kwaga cha Kwaga wanasema walikuwa wanapigiwa simu na baadhi ya Watu wachache kutoka Kigoma mjini wakiwambia eti wasifanye maandalizi ya kumpokea Dr.Slaa lkn Kwa Ukomavu wa makamanda hao wa kata walimjibu kuwa Namnukuu sisi tunatoka Kwaga Kasulu Kigoma sisi ni wafuasi wa CDM na sio wafuasi wa mtu yoyote. Lakini wakasema huyo unayetaka tumuunge mkono kwa kutushawishi tupinge maamuzi ya kamati kuu mbona hajawahi kuja kutusaidia kwenye matatizo ya chama na matatizo yanayowakumba wanachama wetu? Licha ya yy alikuwa kiongozi kutoka Kigoma?????? Ni mikutano mingapi ameifanya ya chama hapa kwetu? Wakati ni kilomita 45 kutoka Kigoma kasikazini kwenye jimbo lake? Mwisho wa kumnukuu. Hivyo Wana kasulu wana uelewa. Licha ya kuwepo wengine kuingizwa chaka na ccm bila kujijua. Maana Rafiki yangu wa ccm anasema anaenda kwenye maandamano kigoma mjini sasa yy kama ccm anayafanya maandamano kwa ajili ya nani?
 
loh, umelewa ukabila!!
 
Dr endelea kufunika maana kinana leo ameumbuka alitaka kuhutubia Njombe,watu hawa kufika,makada wakatuma fuso zikasombe Lupembe na Matembwe mvua imenyesha fuso zime kwama kwenye matope.Nasikia anataka a sepe.
mkuu ccm bila washamba wa vijijini, mambo hayaendi?
 
Siku zote cdm ni wepesi wa kuweka story na picha hata kama za zamani, lakini safari hii kwa Kigoma ni porojo tu. Kuna aibu tupu huko.

Mkuu wau ya kweli hayo? Lumumba na kigoma wapi na wapi? Ukweli wanajua waliopo kigoma. Kunena uongo ni dhambi mkuu.
 
Siku zote cdm ni wepesi wa kuweka story na picha hata kama za zamani, lakini safari hii kwa Kigoma ni porojo tu. Kuna aibu tupu huko.

Mimi hata sina haja sana kwa at most tulihitaji kuwaambia watanzania kuwa CCM+Zitto+uchafu mwingine kuwa tunafanya mkutano km lema alivyokwenda meru...hilo ndilo bao mengine ni km kufunga kwa kisigino, kuburuza mpira ukiwa unatambaa km nyoka na kusukuma na kichwa, kufunga ukiwa umefunga macho.hakuongezi poins za goli ila furaha kwa washabiki.
 


bwana wa ma bwana mungu wa miungu,kama ulivyochafua ndimi za wale waliokuwa wanajenga mnara wa baberi ,chafua ndimi za wote wanaopanga kuvuga mkutano wa dr,ninatuma roho ya mafarakano miongoni mwao wakafarakane wenyewe kwa wenyewe,roho yako ya utiisho ikamtangukie dr,popote atokapo aingiapo ni katika jina la yesu na wote tuseme aminaaaaaaaaaaaa.isaya 41:11 inasema Tazama wote walioona hasira juu yako watatayarika na kufadhaika ,watu washinadanao nawe watakuwa si kitu na kuangamia,13 kwa maana mimi bwana mungu wako nitakushika mkono wako wa kuume nikikuambia usiogope mimi nitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…