Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene
We nae umezdsha kujipendekeza duuu au ndo joto hasira yenyew hyo walenga fungu la m4c?
We unamwamlisha MOd kama nani!!!! Ngoja maumivu yakuingie sawasawa. Picha za leo umeziona saa ngapi au unasema za kibondo jana. Subili tu picha ziwekwe katangebe.
WanaJF,
Mosi,Muda huu mkutano wa hadhara unaendelea mkoani Kigoma.Katibu Mkuu anahutubia Eneo la Kagwa kilomita 46 kutoka Kigoma Mjini .Ni eneo lililopo kati ya Kasulu Mjini na Kigoma Mjini.Watu ni wengi na mkutano unaendelea huku wananchi wakiwa na hamasa kubwa
Mkutano wa kwanza ulifanyika Kikanga
Pili,Kuna jitihada zinazoendelea zinazoratibiwa na baadhi ya watu wa CCM na Vibaraka wao zinazojaribu kujenga Taswira kuwa kuna vurugu zinaendelea.Baadhi ya vyombo vya habari vimeingia studio muda huu na kujaribu kupiga simu kwa watu waliopangwa mahususi kwa shughuli hiyo huko Kigoma ili kutoa ushuhuda kwenye vyombo vya habari.
Habari hizo zipuuzwe.Tusubiri picha .
Hata hivyo,Muda huu kuna taarifa kuwa mtu anayejiita Dr.Alex ambaye ni msaidizi wa karibu wa mmojawapo wa watuhumiwa wa kuratibu mtandao wa uhaini ndani ya CHADEMA,kwa sasa anashughulika kwa hali na mali kwa kushirikiana na Viongozi wa juu wa CCM wa Mkoa wa Kigoma na ofisi ndogo ya CCM Lumumba kupanga vijana kwa ajili ya Maandamano huko Kigoma Mjini kwa ujira wa Sh.5,000.
Hata hivyo taarifa zote nyeti za mkakati huu zinafahamika pamoja na wote wanaohusika.
Mapambano ya Ukombozi wa Pili yanaendelea....!
Umevurugwa wewe!
Dr Slaa is my President! Really this courage of going to Kigoma shows really we have a "down to earth" leader!! Achana na magamba na Rais wao aka "Mkiti wa Miss Tanzania" - by Ibrahim Lipumba
lane,
..lakini na nyinyi CDM mko too slow.
..kwanini hamna watu wenu ktk vyombo mbalimbali vya habari?
..mambo ya kusubiri PICHA yamepitwa na wakati, tena ukizingatia picha zenyewe zinatoka baada ya masaa 36+.
..mlitakiwa muwe mnatoa VIDEO za hii mikutano tena haraka sana kabla upotoshaji haujafanyika.
..kwa kweli kitengo cha mawasiliano cha CDM has to do more, wahusika mnatakiwa mjipange upya.
cc Mwita Maranya, Mungi, Ben Saanane, Dr.W.Slaa, Molemo, Jasusi
Nawashukuru Mods la sivyo wewe mzimu wa Lumumba ungenisababishia BAN. Kwani nilijitolea kukupakata na TUNTEMEKE alijitolea kununua K-Y J.
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene
Mods unganisheni hii habari na ile ya maandamano. Kuhusu picha tayari tumeziona hakuna jipya labda za ku editiwa na tumaini makene
kura yako ni mkosi na laana kwa chadema lakini wanzania wanao ipenda chedema kama mkombozi wao wataipigia kura kama walivyo fanya.Slaa will neva be a president, yeye na mbowe ni mafisadi nani atawapa kura?
Mkuu ukiona unatukana watu usiowajua mtandaoni na hawahangaiki kukujibu, na unaendelea kupoteza muda wako kutukana tambua hupigani sawa sawa na maisha yako.
Fanya kazi kijana.
Slaa will neva be a president, yeye na mbowe ni mafisadi nani atawapa kura?