Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Naamini hizi picha Nape hajaziona, email yake nainunua 100,000/= mwenye nayo anitumie PM"
 
Ana ngoma wala siyo kisukari peke yake
 
Yaaani picha hizi zimenihamasisha yaani naziangalia mara kwa mara.
Hiyo inaitwa delete CCM Iringa. Sasa ni mwendo mdundo wa mkoa kwa mkoa deleta CCM
 
CHADEMA ni nouma!!! naona kila mtu anaviroba vitatu vitatu na chupa la gongo! Big up babu Slaa, tetea gongo ili tusio na pesa za bia na sisi tunywe gongo hadharani!
 
unajua bhana tulisha waambia siku nyingi kwamba cdm ni mpango wa mungu .
 
Hapo ni Bila Ukawa, tukianza Mchaka mchaka wa Ukawa Kuanzia Tarehe 26 mafisadi wa CCM watakimbia nchi. CCM wameiba hadi wahisani wameshitukia, wamegoma kutoa hela, sasa watanzania tunataka ishara gani kuwa CCM haitakiwi tena?

noma sana !
 
Mkuu wangu mmaranguOriginal unaweza kututhibitishia hilo ulilolisema hapo juu?
ubarikiwe

mkuu kombajr. mbona picha na video za mbowe akifanya romance na huyo binti mdogo sana zimesambaa sana mitandaoni mpaka whaaps.amekidhalilisha sana chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…