Mkuu Dazzle
Pamoja nakuleta picha, nijambo lamsingi kabisa kushusha hapa jukwaani kinachoongelewa yaani ujumbe na hotuba.
Picha peke yake hazitosherezi, ujumbe nimuhimu sana hivyo dondoo ni moja ya hamasa katika uzi.
hii picha ya 2010 au ya leo 19/10/2014 ;;;; mimi sijui mbona
Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Teteteeeeee...Rweye umenivunja mbavu! Hapa umemgusa Mwanadiwani.
Mungu Wangu Mungu Wangu Chadema ni noma jamani
hii picha ya 2010 au ya leo 19/10/2014 ;;;; mimi sijui mbona