Dr Slaa ni raisi wa Watanzania, ccm ni kundi ya magaidi.
u
Pamoja na hujuma zote ambazo serikali ya magaidi inafanya kwa CDM, lakini mioyo ya watanzania ina matumaini makubwa na cDM.
Angalia uwanja umejaa wananchi wa Iringa mjini tu, wakati mafirauni wakifanya mikutano yao wanasomba watu mkoa mzima kwa malori, na bado wanajazia wanafunzi wanaolazimishwa kwa sheria ya nidhamu.
Ingekuwa mkutano wa ccm ungejaa watu wenye sare za ccm ama za shule.
ia
Lakini Dr/raisi wa Watanzania, watu wanakwenda bila peer pressure!. Watanzania hao wamejaa kwa ridhaa zao bila nguvu yoyote ya lazima!.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Kibariki Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Tanzania Oyeeeeeeeeeeee!, CHADEMA Oyeeeeeeeeeeeeeeee!, Peoplessssssssssssssssssssss!.