Mkutano wa CUF Matemwe

Mkutano wa CUF Matemwe

[h=1]Ccm by by kaskazini UNGUJA[/h] Written by Ghalib // 10/06/2013 // Habari // 1 Comment

Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.
Hii itaharakisha upatikanaji wa Tanganyika.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
[h=1]Ccm by by kaskazini UNGUJA[/h] Written by Ghalib // 10/06/2013 // Habari // 1 Comment

Foleni ya waliohama ccm haikonekana mwisho wake, wengi ya wananchama hawa ni vijana wanawake na wanaume huko mwatemwe katika mkutano wa cuf, wameamua kujiunga na Cuf kutokana na sera yake ya kudai mamlaka kamili ya zanzibar.

jaman ebu waacheni hawa wavunje muungano, yani wanaume balubalu katka foleni zaid ya nusu hawajavaa ata yeboyebo yani manake zmewashinda dah labda kujitawala watapata nafuu
 
Umeoona eeh...

Hii nchi ni kubwa sana...

Mimi napendekeza kila mkoa uwe nchi ..kisha tuanze kushindana maendeleo....tukishakaa sawa ..tunajiunganisha tena...

ili kuhakikisha mikoa yote inarudi katika muungano baadaye ,lazima tuweke mikataba...

Hili ndilo wanalodai wazanzibari..lakini watu wanawaona wehu
 
Back
Top Bottom