Mkutano wa chadema viwanja vya tabata shule

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
Ndio nimefika namuona kamanda Godbless lema ,j heche watu ni wengi kwakweli japo na jua linawachoma watu wameitikia.people power. Sasa amepanda katibu wa kanda maalum ya dar es salaam. Natumia mchina picha baadae
 
Kilewo ndo yupo jukwaani kamaliza kuwapa watu kiapo cha kupambana hadi kifo tukidai haki tukipinga uonevu.nw kasimama j.heche anasema jana wamevuna wanachama zaid ya 500 katika ufunguz wa matawi DIT na CBE
 
J heche anaponda watu wa dar tunategemea watu wa mikoani watuletee mabdiliko,anadai tunawalea mafisadi.anasema moyo wa ccm upo dar ndo maana juz sisiem nao wamefanya mkutano pale jangwani chadema watafanya kamata mwizi ndani ya jiji la dar yeye na lema
 
naambiwa kabla ya mkutano huo mkubwa yalifanyika maandamano yaliyoongozwa na Godbless Lema, ambapo walifungua matawi sita..
 
Rais anakwenda kuomba msaada wa net za mbu wakati anarudi wazungu wanapanda ndege wanakwenda na madini.jimbon kwa anna kilango zahanat imefugwa kwa kukosa tundu la choo.shame
 
Mungu awabariki makamanda wote na wananchi wote waliohudhuria pasipo kubebwa kwenye malori,fuso n.k VIVA M4C
 
Rais anakwenda kuomba msaada wa net za mbu wakati anarudi wazungu wanapanda ndege wanakwenda na madini.jimbon kwa anna kilango zahanat imefugwa kwa kukosa tundu la choo.shame


:llama:jimboni kwa kilango katika vijiji vya majengo, kaloleni, lasa na mgandu amewadanganya kuwapelekea maji ya bomba. Yalitoka mara moja tu mwaka juzi hadi leo hajafika tena. Tunasubiri 2015.:llama:
 
J heche anaapa ccm wanang'oka 2015 kwa tadhmini aliyoifanya kusini.katika kijij uko nanyumbu mwenyekiti amejiunga cdm na wafuasi 164
 
Back
Top Bottom