Mkutano wa chadema viwanja vya tabata shule

Nasikitika kukosa mkutano huu. Niko Dihimba huku mwara walikopita wakuu. Kazi imefanyika.
Kaza kamba.

CHADEMA lazima kuchukua nchi 2015.
Sina wasiasi wowote

Quality
 
Ccm wamesema cdm ni wakirsto na cuf ni waislam.sasa ccm ni chama gani raia wamejibu kwa sauti mafreemason

Katika zote hii ndo mpya kama bajeti ya mwaka huu ilivyotoka na plate namba mpya. Kula LIKE zangu za nguvu ingawa like imeenda na freemason
 
Makamanda tupen updates zaidi kwa ss wa huku mikoani. Lema ni jembe sana.

Peoples.............
 
Kanyaga twende makamanda Lema na Heche,hii operesheni inabidi iitwe 'OKOA DAR ES SALAAM'maana magamba huwa wanasema wamewakamata watu wa Dar hasa wilaya ya Ilala imelala sana inabidi izinduliwe.
 
Gamba linavuliwa romanuce katibu wa uchumi tabata,kadi zinatupwa watoto .kampeni meneja wa cuf nae kavua ganda kavaa gwanda.wamepokea wanachama 412 .watu wanafanya maandamano yakwenda kuzindua matawi na mh g lema maeneo ya tabata msimbaz na mtambani
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!
 
mkuu hiyo ni habari nzuri
 
kikwete, Pinda, Makinda wana mwogopa lema sijui kwanini...

Labda kwa kuwa wameshawahi kumsakizia ujambazi kupitia wakala wao Zombe, kwa hiyo wanaogopa anaweza kuwajambazia.
The unseen is illustrated by the seen.
 
J heche anaponda watu wa dar tunategemea watu wa mikoani watuletee mabdiliko,anadai tunawalea mafisadi.anasema moyo wa ccm upo dar ndo maana juz sisiem nao wamefanya mkutano pale jangwani chadema watafanya kamata mwizi ndani ya jiji la dar yeye na lema

Yes kawaambia ukweli badirikeni jamani,
tuikomboe nchi yetu.
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!

acha uzushi mkuu picha zitawekwa kuzibitisha magambaz mkubwa wewe .magari yenyewe yalikuwa zaidi ya 30 yamepaki ngambo ya barabara adi karibu na kituo cha police na kwenye uwanja wa kanisa la jiran pale
 
Back
Top Bottom