Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Plz mod unganisheni thread hii na ilenyingine zote nia na lengo ni moja.
 
Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.

Chadema nendeni maeneo mengine kama.

Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.
 
Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.

Chadema nendeni maeneo mengine kama.

Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.

tulifanya kazi kubwa ya kumchagua Nassari
 

Attachments

  • Photo0008.jpg
    Photo0008.jpg
    38.7 KB · Views: 117
Mikoa ya kanda ya kt CDM Msiisahau, kule oparation inahitajika zaidi kuliko Arusha ambapo peoples pwr imewashika magamba pabaya.
 
Ingependeza tungeanzisha movement ya kuwachoma moto mpaka kufa hawa magamba, kwani hawana tofauti na vibaka wa mitaani wanaouliwa kila siku.
Yani ingekuwa hivi; kwa mfano ukimuona Ekelege au malima au maige au ngeleja au riziwani, mnamtaitisha, piga sana, valisha taili, mafuta, piga moto, i am sure wangekua na adabu...
 
Hivi ni viongozi gani wa CDM watakaokwepo kwenye huo mkutano?
 
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.


Masikio Nipashe wewe ni kusikia tu, usijesikia tena kwa watu yule baba yako unayemjua si baba yako (huo ni msemo wa Mwl Nyerere kwa Masikio Nipashe Kenya)
 
Najua mko wengi ila wenye uwezo wa real live updates ni wachache na sidhani kama wewe ni miongoni mwao!

kama jf wanawawezesha hao na mi pia niwezeshwe.una roho mbaya naona,jf ingekuwa yako nisingekohoa..gamba wewe
 
Back
Top Bottom