Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Mkutano ni saa nane watu wameshanzaa kutia timu ama kweli watu wana usongo...

Picha za awali

=====


======
View attachment 53517View attachment 53525
View attachment 53518
View attachment 53519
View attachment 53520
View attachment 53521
View attachment 53522View attachment 53524
Baada ya kuona makamanda wanaendelea vema kuripoti yanayoendelea NMC nimeona bpra nishughulie na picha zaidi



Peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss



Movement For Change - Vua Gamba Vaa Gwanda.....Hakuna kulala mpaka kieleweke...




 
kwa arusha najua kabisa hatutakwama kwa updates,mikoa mingine huwa tunajikokota.
Viva jf
 
Jomba huku Songea tuko pamoja vua gamba Vaa Gwanda watu wangu.
 
Makamanda mliopo Arusha kulikoni mbona kima katika hili tunata updates za uko nini kinaendelea mkutano si umeanza saa 4 hii? Tuwekeeni hapa kinachoendelea maeneo hayo.
Mkutano ni saa nane...
 
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.
 
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.
Leo tunaanza na UVCCM na UW-Arusha tuna zizika kabisa...
 
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.
Gamba kazini!:flame:
 
Usisahau picha mkuu. Freedom is around the corner.
 
Pamoja sana Makamanda lakini mbona kila siku Arusha tu Tanzania kubwa.
Wazaramo na Wakwere kazi yao kucheza ngoma tu, mambo haya ya ukombozi watayajuwa wapi? wakati wao wakivuna mpunga ni kucheza ngoma mpaka pea iishe?
 
Nimefika hapa uwanjani upepo ukiwa umetulia,baridi kama kawa hapa Arush na watu wameanza kujitokeza ktk mkutano huu uliomahsusi kuzindua mpango uitwao 'VUA GAMBA VAA GWANDA' karibuni sana ktk eneo hili maarufu 'chadema square' 2peane updates..

Shida mnaanzisha thread halafu kuleta updates hamleti mkitegemea wengine wafanye hivyo! Kama huwezi kuleta updates pamoja na picha tafadhali kaa pembeni waachie wenye nia na uwezo wafanye hivyo. Hata thread yenyewe maelezo nusu nusu - hayajitoshelezi. Ungekuwa serious ungetueleza yafuatayo:-

- Muonekano na matayarisho hapo uwanjani kwa ujumla yakoje hadi sasa - bendera za chama, majukwaa, vikundi vya ngoma, dansi, n.k.
- Viongozi gani wanatarajiwa kuwepo kwenye huo mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k.
- Viongozi gani mpaka sasa wameshawasili au wako maeneo ya mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k.
- Mwitikio na hamasa ikoje - waliovalia mavazi na nembo zingine za chama, gari ya matangazo, vipeperushi, mabango, n.k.
-Jamaa wa intelijensia vipi? Wameshaanza kuranda randa maeneo ya karibu, migari yao ya kuwasha, n.k.
- Ni mambo gani hasa makubwa yanayotarajiwa kujiri katika mkutano wa leo - wengine tunasikia kuna maelfu ya wana-CCM watakaorudisha kadi; Je, ni kweli? n.k.

Halafu, kwa taarifa yako sio "Mpango" ni "Operesheni".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…