Mkutano wa CHADEMA uzinduzi wa Kanda ya Kati wahamishwa kiwanja!

Chadema sasa wanapaswa kuwa wanafanya mikutano yao pembezoni mwa mji zaidi. Ni strategy nzuri.
 
Hao CCM wanaweweseka wameshikwa pabaya na CDM hawana mbinu zaidi. Wamepoteza mwelekeo badala ya kutekeleza ahadi wanahangaika na CDM, hesabu 2015.
 
a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidhi Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati ya Zitto na Marando
Hata hivyo haijajulikana has nani anaempa Kubenea jeuri ya kuendelea kufatilia simu za watu mpaka leo pamoja na kuwa hata gazeti lake lilifungiwa kwa makosa hayo hayo
Kimsingi pia huu ni aina ya ugaidi wa mawasiliano ya watu unaofanyika

ZITTO ni rafiki wa Jack Zoka sasa unashangaa marafiki kuazimana simu!! Kwanini Zitto agombane na Marando badala ya kuuliza VODACOM nani alikuwa anaitumia line yake?
 
magamba hayatambui hilo wanafkiri hiki ni chama cha dar kama vilivyo vya kina dovutwa

Mkuu,

Umenikumbusha Dovutwa aliyemwongezea kura kikwete baada yamatokeo kutangwa 2010. Vyama vingine matawi tu ya magamba ili kupunguza kura za wanamageuzi.
 
Back
Top Bottom