Nimesoma na ninaelewa vizuri, sio nijifunze kusoma na kuelewa. Unaposema kuwa kawaamsha wasukuma wenzake unajidanganya coz hata mkutano wake mmoja alioufanya Didia na Mbugani nilikuwepo na anachoweza jukwaani sio kunadi sera zake bali kuendeleza malumbano mara ya ZZK na CC, mara CCM imefanya vile badala ya kutushawishi atafanya nini yeye kama yeye. Kura za kupigiana kisa ukabila na uchama zishapitwa na wakati na hakuna mtu anaemuita aende kugombea kwenye hayo majimbo 9 unayosema labda ni wapiga debe wake ndo wanamlaghai ajaribu kugombea.
Tusijaribu kupigia kura mtu kwa kuangalia chama, kumbuka hata huyu Mawazo mwanzo alikuwa CCM na watu walimwamini wakamchagua sio kwa vile ni mgombea wa CCM bali kwa vile aliweza kuwashawishi kwa sera zake. Unaposema kwamba hakuna mwanasiasa yeyote wa CCM anayeweza pambana naye unakosea coz watu wanachoangalia ni uwezo wa mtu.
n way tuachane na hayo man chester amefungwa ngapi?
kichwa yako haiko sawa sawa!
Mimi ninaishi SOMBETINI, nani kakwambia kuna shida ya maji? Tatizo lenu mnachanganya USELA na SIASA.
Nimesoma na ninaelewa vizuri, sio nijifunze kusoma na kuelewa. Unaposema kuwa kawaamsha wasukuma wenzake unajidanganya coz hata mkutano wake mmoja alioufanya Didia na Mbugani nilikuwepo na anachoweza jukwaani sio kunadi sera zake bali kuendeleza malumbano mara ya ZZK na CC, mara CCM imefanya vile badala ya kutushawishi atafanya nini yeye kama yeye. Kura za kupigiana kisa ukabila na uchama zishapitwa na wakati na hakuna mtu anaemuita aende kugombea kwenye hayo majimbo 9 unayosema labda ni wapiga debe wake ndo wanamlaghai ajaribu kugombea.
Tusijaribu kupigia kura mtu kwa kuangalia chama, kumbuka hata huyu Mawazo mwanzo alikuwa CCM na watu walimwamini wakamchagua sio kwa vile ni mgombea wa CCM bali kwa vile aliweza kuwashawishi kwa sera zake. Unaposema kwamba hakuna mwanasiasa yeyote wa CCM anayeweza pambana naye unakosea coz watu wanachoangalia ni uwezo wa mtu.
n way tuachane na hayo man chester amefungwa ngapi?
ulikuwepo mbugani ipi? mawazo anakubalika toka Nyang'wale,Buchosa,Sengerema,Misungwi,Magu,Busega,Bunda,Maswa nk.Nakumbuka tulipiga naye kazi katika uchaguzi mdogo Magu tukachukua vitongoji,mitaa na vijiji kibao ukuwemo mtaa wa Bank-Magu yalipo makao makuu ya ccm wilaya!
Mbona siku hizi hamuambatanishi na picha/?
...Kamanda nimemwona Kamanda Mawazo Akirusha makombora mfululizo!!! asee hili jembe!!!!
kwa mtu anaetumia ubongo sawasawa kitendo cha kusema mapungufu ya mpinzani inamanisha yeye hatafanya hayo mapungufu kwasasa tunatangaza udhaifu wa ccm tutafanyanini soma ilani ya chama chetu..
Yaelekea una macho makengeza wewe!
Eti picha hauoni? Pole sana!
aisee watu waliguswa mpaka wakawa wanalia jamaa amepitia mateso ndani ya ccm zaidi ya mtu aliyeko kifungoni...
Zaman kila post ya chadema lzm na picha. Cku hiz vipi? Hata smart phone na digital camera hamna? Au kuna vitu mnaficha?
Mbona siku hizi hamuambatanishi na picha/?
View attachment 133244View attachment 133245View attachment 133246View attachment 133247
Chadema ni habari nyingine....

Lema kapata uwanja wa kuporomoshea matusi yake!
ulikuwepo mbugani ipi? mawazo anakubalika toka Nyang'wale,Buchosa,Sengerema,Misungwi,Magu,Busega,Bunda,Maswa nk.Nakumbuka tulipiga naye kazi katika uchaguzi mdogo Magu tukachukua vitongoji,mitaa na vijiji kibao ukuwemo mtaa wa Bank-Magu yalipo makao makuu ya ccm wilaya!
Ni balaa mkuuu.....
Umeshawaza watoto wako watakula nini jioni ya leo? au hauna majukumu, unaishi kwa mjomba?
Sasa Mawazo hatafanya nini ambacho Zito kakifanya?
Achana naye huyo , I know the guy toka Geita Sec by then as my prefect ningali o level,akitaka kuwa Mbunge atuambie tu, siye ndo kanda ya ziwa cdm.