kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni, umejiunga leo na unakuwa muongo ukizoea si utatukanwa mpaka basi.Mkutano una watu 20 kwa mara nyingine tena Chadema Chali.
Kuku mgeni hakosi kamba mguuni, umejiunga leo na unakuwa muongo ukizoea si utatukanwa mpaka basi.Mkutano una watu 20 kwa mara nyingine tena Chadema Chali.
hawa watu kwa sababu ccm na ye mwenyewe wamekuwa wakiwatumia waislamu kwa manufaa ya ccm sasa anogopa siri kuwekwa hadharani tumeone waislamu wengi viongozi mzee mwinyi aliwadhibiti akina ponda mzee makamba aliwadhibiti pale magomeni sasa kikwete kwa nini tusikuone wewe ni swahiba na unawafurahia kwa sababu wanafanya kazi abayo ndani ya moyo wako unachekelea lakini kumnuka vita ya kidini haitamuacha salma ridhiwani wala ndugu yako yeyote acha udini ongoza nchi nyerere aliyuonya watanzania kukuchagua sasa tunaona faida zakewana watu 20 anaona aibu.pamoja na kuwalzimisha waumini wa kisabato.wakadanganya kuwa mjumbe wa nec wa ccm.mjue kuwa ni matapeli.
MWENYEKITI wa Chadema jijini London, Kamanda Chris Lukosi akijiandaa kwa safari ya kuelekea Reading kwa ajili ya mkutano wa chama chake utakaofanyika leo Agosti 26, 2012.
Mkutano una watu 20 kwa mara nyingine tena Chadema Chali.
Aaaaaaaaaah sasa si mngewavua ungangari Hao cuf wavae gwanda au nyinyi mpaka mtu awe ccm tu
Infact nataka kujua ni nani?Walimtisha kwenye kikao chao cha ijumaa
Kada wa ccm aliyejivua gamba wapi?