Mkutano wa Chadema Reading, Updates

Mkutano wa Chadema Reading, Updates

Haya magamba mpooo? nadhani sura nyingi mnazifahamu
 
Haya magamba mpooo? nadhani sura nyingi mnazifahamu
Endeleeni kuhesabia watu mkipata idadi mnipe jibu please manake nilipoteza count!
 

Attachments

  • Vua gamba vaa gwanda mwenyekiti akitoa kadi kwa wanachama wapya.JPG
    Vua gamba vaa gwanda mwenyekiti akitoa kadi kwa wanachama wapya.JPG
    1 MB · Views: 83
  • Wambura akivaaa gwanda na kukabidhiwa kadi yake.JPG
    Wambura akivaaa gwanda na kukabidhiwa kadi yake.JPG
    919.5 KB · Views: 88
Let's put things into perspective. Watu (watanzania) 20 kwa London ni wengi sana. Tukumbuke wengi wa watanzania walio majuu ni watoto wa vigogo au watu wana maslahi na 'mfumo'. Pia kwa London kuna watanzania wengi toka Pemba -automatically watakuwa wafuasi wa CUF.

FJM,
Sio kweli Watanzania wengi walio Ulaya ni watoto wa vigogo...nenda Milton Keynes au Leicester City, ukaone Watanzania kutoka uswahilini.
 
Last edited by a moderator:
FJM,
Sio kweli Watanzania wengi walio Ulaya ni watoto wa vigogo...nenda Milton Keynes au Leicester City, ukaone Watanzania kutoka uswahilini.
Ritz, tutakuwa huko in two weeks time
Hatulali mpaka kieleweke, najua nakuumiza sana mkuu lakini unisamehe mdingi wako kaniharibia nchi yangu
 
FJM,
Sio kweli Watanzania wengi walio Ulaya ni watoto wa vigogo...nenda Milton Keynes au Leicester City, ukaone Watanzania kutoka uswahilini.

Nadhani umesoma post yangu haraka, nimesema watoto wa vigogo au watu wanaofaidika na 'mfumo'. Pia nimesema wapo wapo wafuasi wa CUF ambao kwa historical reason wako kwenye harakati tofauti kabisa za 'Tanganyika.
 
Ushauri wangu kwa mwigulu nchemba,
Please sikiliza video ya mkutano wa chadema uk, umsikilize huyu bwana anaitwa Dr Alex ni mhadhiri HAPA UK
Najua ukimsikiliza hutamvalisha mbwa bendera tena.
 

Attachments

  • Mweka hazina wa Chadema UK Dr Alex akishusha madongo mazito.JPG
    Mweka hazina wa Chadema UK Dr Alex akishusha madongo mazito.JPG
    894.1 KB · Views: 81
  • IMG_4542.JPG
    IMG_4542.JPG
    861.3 KB · Views: 99
Nadhani umesoma post yangu haraka, nimesema watoto wa vigogo au watu wanaofaidika na 'mfumo'. Pia nimesema wapo wapo wafuasi wa CUF ambao kwa historical reason wako kwenye harakati tofauti kabisa za 'Tanganyika.

Ok Mkuu nimekuelewa.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mwenyekiti hongera sana kazi nzuri unayo fanya ya kuwakutanisha watanzania na kujadili positive things zinazo wahusu watanzania wengi wa nyumbani ondoa usiasa huyu jamaa anahitaji pongezi kwani hata kama CCM au ubalozi wetu kama wangekua wanawakusanya wa Tanzania kwa kujadili mambo yanayo wakabili wa TZ nyumbani hii ni positive big up tunataka wana wa CCM wafanye hivyo hayo ndio ukisikia maendeleo ya kimawazo,
 
Hivi mbona hawa watu wa Reading ni ndumila kuwili sana?
 
Let's put things into perspective. Watu (watanzania) 20 kwa London ni wengi sana. Tukumbuke wengi wa watanzania walio majuu ni watoto wa vigogo au watu wana maslahi na 'mfumo'. Pia kwa London kuna watanzania wengi toka Pemba -automatically watakuwa wafuasi wa CUF.

Huachi kuandika pumba tu? Uliwahesabu wakakwambia wanatoka Pemba?
 
Nitakuwa nawajuza yanayojiri Leo hapa reading, ukumbi umeishaanza kufurika
wahuni wa london.
Huyu picha ya juu kushoto Uk nzima inamjua ni mtu asiye na adabu kwa jamii matendo yake kila mtu anamkimbia.kama ndio mnataka kuwapeleka Tanznaia watu kama hawa ni watalaam nchi imeumia. makanisa yote yanapiga vita jambo hilo kuwa legal.
chris kweli ni mtambo analeta watu wa ajabu ajabu.kuna group la wahaya na wachagga.
Agnes kundy ni mwanaCCM mbona hamjampa kadi kama ni mwanachama wenu?
chris lukosi siri yako tumeipata soon atafikishiwa Mbowe ajue kuwa umekwenda chadema kimaslahi.huna tofauti na Shiduba.
 
Ushauri wangu kwa mwigulu nchemba,
Please sikiliza video ya mkutano wa chadema uk, umsikilize huyu bwana anaitwa Dr Alex ni mhadhiri HAPA UK
Najua ukimsikiliza hutamvalisha mbwa bendera tena.
anafundisha chuo cha wa Nigeria.kama Mhadhiri awe Reading university,Durham,Abeerden,York,Queen Mary.LSE jamani anafundisha chuo cha uchohoroni hakuna Mzungu hata mmoja.
chris ungesoma hata masomo ya jioni kuongeza maarifa ufahamu wako uko chini sana.
 
fjm,
sio kweli watanzania wengi walio ulaya ni watoto wa vigogo...nenda milton keynes au leicester city, ukaone watanzania kutoka uswahilini.
sasa kwa nini mnakosa usingizi na uk hizo ni rasha rasha tutafanya kweli very soon hatupati wala kutumia pesa ya rada kama matawi ya ccm yakina kinana
 
DR.lusingo amewaambia waumini wake wa kisabato kwenda kwenye mkutano ni baada ya kuona mkutano wa london hawakupata watu.
asiyekwenda kwenye mkutano anasuswa na kanisa lake.

Mfuko wa mazishi kama wachangiaji walivyooponda ni kuwa hauna maana kwani tayari PPF Mfuko wa pensheni-Tanzania umeanzisha huduma ya kusaidia matibabu kwa wana Diaspora na ikitokea mtu kafaraiki wanasafirisha maiti na mtu wa kusindikiza maiti anapewa tiketi. hao ndio PPF chini ya mkurugenzi Mkuu Erio.

John Lusingu,Alex,aseri na chris Lukosi kama nyinyi mnataka kuwaibia watu kwa vifo tayari PPF wameshalifanyia kazi tatizo hilo na wamarekani waliofiwa Maiti na msindikizaji wamepelekwa Tanzania kwa dola mia tatu.acheni wizi.

Kazi ipo na kubwa kumkomboa Mtanzania kifikra, maana kama hata mijini watu wanakuwa na mawazo kuwa bado tunahitaji vyama vilivyopigani uhuru wa bendera, basi ni kazi, kwasasa hatuhitaji mawazo na vyama vya aina hiyo, tunataka vyama vitakavyotukomboa kifikra na kiuchumi, ni aajabu bado tunang'anga'nia chama kinachokuwa bado na mawazo ya uhuru wa bendera na hata tunapotakiwa tujikomboe kifikra, tunaogopa kwa kutoa hoja ambazo wala hazitusaidii kufanya mapinduzi ya kifikra na kiuchumi. Inasikitisha
 
sasa kwa nini mnakosa usingizi na uk hizo ni rasha rasha tutafanya kweli very soon hatupati wala kutumia pesa ya rada kama matawi ya ccm yakina kinana
Duh, kamamnda mie nashindwaw kuelewa juu ya nini bana kosa usingizi
 
Back
Top Bottom