Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
CCM waliikopesha kampuni ya UHURU PUBLICATIONS milioni 455 na hizi pesa zilitoka wapi na zimefanyiwa nini? Kwa sababu wafanyakazi wa Uhuru Publications bado wanadai mishahara mpaka leo.Tunataka Polepole atolee maelezo kuhusu fedha hizo zilikopotea - CHADEMA.
Serikali hii inajitangaza kukusanya kodi lakini Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kaweka wazi Tanzania ni ya mwisho katika nchi za Afrika Mashariki kwenye ukusanyaji kodi. Watuambie hizi kodi za wananchi zinaenda wapi? Wakumbuke zinapaswa kutolewa ufafanuzi - CHADEMA
Ripoti ya CAG inasema gharama za uongozaji wa serikali zimeongezeka hadi trilioni 1.7 lakini serikali hii tangu iingie madarakani haijaajiri watu, imepunguza safari za nje, imefukuza wafanyakazi wenye vyeti feki. Sasa hizo hela zimeongezeka zimefanya Nini? - CHADEMA.
Na CCM ijibu hizo fedha za Bilioni 12 walizokopesha makampuni hayo na mishahara ya wafanyakazi wao inatoka wapi? Isije ikawa ndio hizi pesa trilioni 1.5 zilizopotea? - CHADEMA
Tunamtaka @hpolepole atuambie hivi yale makampuni walioingia nayo ubia, wanachama wao wananufaikaje? Hayo makampuni na nani anayasimamia? Au ndiko walikowekeza hizo Sh. trilioni 1.5? - CHADEMA