Mkutano wa CHADEMA na Jumuiya ya Ulaya Umevunja Mikataba ya Kimataifa

Zipo taarifa, kutokana na Picha zinazozunguka katika mitandao ya kijamii kwamba siku ya Tarehe 27 ya mwezi wa tatu(3) 2018, Chama cha Demokrasia na maendeleo kilifanya kikao cha chama ndani ya ofisi za jumuiya ya nchi za ulaya. Sina hakika sana na kilichofanyika kama kilifanyika , ila ninayo machache ya kuyajadili hapa;

Kikao hicho ni matokeo ya hatua ya serikali kupitia vyombo vyake vya kiulinzi na usalama pamoja na utoaji haki kuwafikisha mahakamani viongozi sita (6) wa Chadema kutokana na makosa mbali mbali yaliyofanyika mwezi mmoja kabla, yaliyopelekea kutokea kifo cha wanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT.

Tanzania kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa ( UN) ni mmojawapo wa nchi zilizokubaliana katika matumizi ya mikataba mbali mbali ya kimataifa inayotoa maelekezo ya nchi wanachama namna ya kufanya mambo yake ya ndani na jinsi ya kuhusiana na nchi nyingine.

Moja wapo ya mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeipitisha ni pamoja na United Nations Charter, ya mwaka 1945, International Covenant on civil and Political Rights ( 1966) na pia ni mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya ICJ.

Ni kanuni ya kimataifa inayotambulika kwamba, hakuna Taifa lolote lenye mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya Taifa jingine mwanachama kwa namna yoyote ile, iwe ni kwa matumizi ya nguvu ama la, kanuni hiyo ni zao la mikataba mbali mbali ya kimataifa kama ilivyonukuliwa hapo juu.

Kanuni hiyo, ilianza kutumika kuanzia miaka ya 1933 kupitia Ibara ya 15 ya mkataba wa kimataifa wa Covenant of the League of Nations na pia The Montevideo Convention on Rights and Duties of States ambayo kwa pamoja ilikataza mambo yafuatayo;

" The inteference with the freedom(uhuru), sovereignty ( mamlaka ya nchi) or other internal affairs (mambo ya ndani ya nchi) or the process of the governments of other states ( au shughuli(michakato) za/ya nchi husika)"

Kanuni hiyo, kama ilivyoaninishwa hapo juu, katika mikataba hiyo ya kimataifa, iliwekewa nguvu na Mkataba wa Umoja wa kimataifa wa mwaka 1945 ama UN Charter na katika maazimio mbali mbali.

UN Charter (1945) inatambua kanuni hiyo katika Ibara ya 2.4 na 2.7 kama ifuatavyo;

2. 4. All Members shall refrain in their international relations from the threat or use of force against the territorial integrity or political independence of any state, or in any other manner inconsistent with the Purposes of the United Nations.

2. 7. Nothing contained in the present Charter shall authorize the United Nations to intervene in matters which are essentially within the domestic jurisdiction of any state or shall require the Members to submit such matters to settlement under the present Charter; but this principle shall not prejudice the application of enforcement measures under Chapter VII.

Maazimio mbali mbali ya Umoja wa kimataifa kama Azimio Na. 2131(xx) la mwaka 1965, pia lilitambua kanuni hiyo ya kimataifa inayoweka katazo kwa nchi wanachama kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Kwa kuzingatia kanuni hiyo, mahakama ya Kimataifa ya Utoaji haki ama ICJ, imetoa maamuzi kulingana na mashitaka yatokanayo na madai ya nchi moja kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, mfano mzuri ni shauri lile lihusulo nchi ya Nicaragua na Marekani mwaka 1986 na pia Congo na Uganda la mwaka 2005, tukianza na lile la marekani na Nicaragua Mahakama ya ICJ ilikua na haya ya kusema;

NICARAGUA VS USA, (Merits) ICJ Reports (1986),

"The principle of Non- Intervention involves the right of every foreign state to conduct its affairs without outside interference, though examples of trespass against this principle is not infrequent, the court considers that it is part and parcel of the customary international law....

The principle forbids all states or groups of states to intervene directly or indirectly in the internal or external affairs of the states.."

Katika shauri la Congo na Uganda mahakama ilikua na haya ya kusema,

DRC Vs UGANDA, ( Merits) ICJ Reports (2005),

" The principle of non -intervention prohibits a state to intervene directly , or indirectly, with or without armed force, in support of the internal opposition within a state".

Kitendo cha Jumuiya ya Ulaya kuruhusu Chadema kutumia premises zao katika kufanya mkutano wao, kimekwenda kinyuma na kanuni za kimataifa zinazokataza nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, na kimevunja mikataba yote ya kimataifa.

Ikumbukwe kwamba makosa waliyoshitakiwa viongozi wa chadema, sio ya kisiasa, bali ni makosa ya kawaida kabisa ambayo mtu yetote ambaye ni Raia wa Tanzania anaweza kushitakiwa nayo, hivyo hakuna sheria yeyote iwe ya ndani au nje iliyovunjwa jambo ambalo lingewapa Jumuiya ya Ulaya uhuru wa kufanya walichokifanya na kwa kuzingatia kwamba viongozi wa chadema hawana kinga ya kushitakiwa.

Ibara ya 15 (2) ya International Covenant on Civil and Political Rights (1966) inasema, nanukuu;

" Art. 15 (2). Nothing in this article shall prejudice the trial and punishment of any per son for any act or omission which, at the time when it was committed, was criminal according to the general principles of law recognized by the community of nations".

Kwa kuzingatia hayo, ni dhahiri mambo haya yanatakiwa kufanyika;

(i) Jumuiya ya Ulaya kuomba radhi kwa hayo yaliyotokea,

(ii) Serikali Kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na jumuiya ya afrika mashariki kutoa tamko kulaani kitendo hicho.

Ni waase tu ndugu zangu kuacha kufanya vitendo ambavyo vitazua mtafaruku bila ya kuwa na grounds zozote zile za kujustify vitendo vyao hivyo batili.

Bure kabisa
 
Mkuu, wakikujibu kwa point za mtiririko wa kisheria kama ulivyoleta hoja naomba unijulishe. Hawa wanachojua ni kuhamasishana maandamano tu na kutafuta kufanya vurugu.
 
" Art. 15 (2). Nothing in this article shall prejudice the trial and punishment of any per son for any act or omission which, at the time when it was committed, was criminal according to the general principles of lawkweli recognized by the community of nations".

Kwa kuzingatia hayo, ni dhahiri mambo haya yanatakiwa kufanyika;

(i) Jumuiya ya Ulaya kuomba radhi kwa hayo yaliyotokea,

(ii) Serikali Kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na jumuiya ya afrika mashariki kutoa tamko kulaani kitendo hicho.

Ni waase tu ndugu zangu kuacha kufanya vitendo ambavyo vitazua mtafaruku bila ya kuwa na grounds zozote zile za kujustify vitendo vyao hivyo batili.
Wewe jinga kubwa hayo yaliyotendeka ya kuvunja haki za binadamu na serikali dhalimu ya mgojwa wa akili hayapo kwenye UN charter? Usitudanganye, wala msijifiche nyuma ya tafsiri ya kiCCM ya UN charter. Ulivyojinga uanatuletea mistari tu badala ya charter zote husika. Unatumika vibaya
 
..mimi nimependekeza Tz izifunge balozi za nje zinazokiuka mikataba ya kimataifa.

Serikali ya Tanzania haiwezi kufanya hivyo maana tayati inafahamu hiyo mbinu ya Mbowe na genge lake.

Ndiyo maana polisi waliwasubiri wamalize kikao chao halafu wakawaita kituo cha polisi kwa mahojiano.

Sasa leo wapo Segerea na watatoka tarehe 3 kisha watakuwa wakiripoti kila Alhamisi.

Na Alhamisi inaeleka ile siku yao yaani tarehe 26 April itakuwa Alhamisi.

Hii michezo ipo ya aina nyingi ukiacha michezo ya kidiplomasia ambayo Tanzania haina shida nayo kwa sasa.

Michezo iliyopo na ambayo ni hatari zaidi ni hii ya akina Mbowe dhidi ya serikali ambayo siku zote anaeathirika ni upinzani.

Upinzani ubadilike uelekeze majadiliano zaidi na siyo makabiliano ambayo hauyawezi.
 
kiukweli ni mara yangu ya kwanza kusikia gari la kupeleka wafungwa mahakamani bovu hivyo kutowapeleka nikijaribu kuwaza tu kwa sauti hivi hii ni haki? eti UN wamevunja mkataba hivi wewe hata sheria unaijua kweli buree kabica ww kilaza kabca serikali inakanyaga katiba kila mtu anaona huongelei hata moja
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kufanya hivyo maana tayati inafahamu hiyo mbinu ya Mbowe na genge lake.

Ndiyo maana polisi waliwasubiri wamalize kikao chao halafu wakawaita kituo cha polisi kwa mahojiano.

Sasa leo wapo Segerea na watatoka tarehe 3 kisha watakuwa wakiripoti kila Alhamisi.

Na Alhamisi inaeleka ile siku yao yaani tarehe 26 April itakuwa Alhamisi.

Hii michezo ipo ya aina nyingi ukiacha michezo ya kidiplomasia ambayo Tanzania haina shida nayo kwa sasa.

Michezo iliyopo na ambayo ni hatari zaidi ni hii ya akina Mbowe dhidi ya serikali ambayo siku zote anaeathirika ni upinzani.

Upinzani ubadilike uelekeze majadiliano zaidi na siyo makabiliano ambayo hauyawezi.

..kwa hiyo serekali inawaogopa wazungu/"mabeberu."?

..mimi naogopa hapo unapodai kuna " mchezo " unaendelea wakati haya ni masuala mazito yanayo-shape future ya nchi yetu.

..nadhani kila upande uwe makini. Particularly, Serekali iache kutugemea mno Polisi na Mahakama ktk ku-deal na vyama vya upinzani.

..In my opinion I think it is wrong to politicize our police force and the judiciary. Hata kama hakuna mtu au chombo kinachoweza kuzuia hali hiyo, naamini viongozi wetu wana wajibu kwa nchi hii kutokukiuka mwiko huo.

..On the other end naamini democracy and dialogue are our best bets kutuhakikishia amani na maendeleo kwetu sisi na vizazi vijavyo.

..Kwa hiyo huu mwenendo aliouchukua Magufuli wa kuwa mtu wa shari-shari na ukatili yananipa wasiwasi.
 
Zipo taarifa, kutokana na Picha zinazozunguka katika mitandao ya kijamii kwamba siku ya Tarehe 27 ya mwezi wa tatu(3) 2018, Chama cha Demokrasia na maendeleo kilifanya kikao cha chama ndani ya ofisi za jumuiya ya nchi za ulaya. Sina hakika sana na kilichofanyika kama kilifanyika , ila ninayo machache ya kuyajadili hapa;

Kikao hicho ni matokeo ya hatua ya serikali kupitia vyombo vyake vya kiulinzi na usalama pamoja na utoaji haki kuwafikisha mahakamani viongozi sita (6) wa Chadema kutokana na makosa mbali mbali yaliyofanyika mwezi mmoja kabla, yaliyopelekea kutokea kifo cha wanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT.

Tanzania kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa ( UN) ni mmojawapo wa nchi zilizokubaliana katika matumizi ya mikataba mbali mbali ya kimataifa inayotoa maelekezo ya nchi wanachama namna ya kufanya mambo yake ya ndani na jinsi ya kuhusiana na nchi nyingine.

Moja wapo ya mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeipitisha ni pamoja na United Nations Charter, ya mwaka 1945, International Covenant on civil and Political Rights ( 1966) na pia ni mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya ICJ.

Ni kanuni ya kimataifa inayotambulika kwamba, hakuna Taifa lolote lenye mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya Taifa jingine mwanachama kwa namna yoyote ile, iwe ni kwa matumizi ya nguvu ama la, kanuni hiyo ni zao la mikataba mbali mbali ya kimataifa kama ilivyonukuliwa hapo juu.

Kanuni hiyo, ilianza kutumika kuanzia miaka ya 1933 kupitia Ibara ya 15 ya mkataba wa kimataifa wa Covenant of the League of Nations na pia The Montevideo Convention on Rights and Duties of States ambayo kwa pamoja ilikataza mambo yafuatayo;

" The inteference with the freedom(uhuru), sovereignty ( mamlaka ya nchi) or other internal affairs (mambo ya ndani ya nchi) or the process of the governments of other states ( au shughuli(michakato) za/ya nchi husika)"

Kanuni hiyo, kama ilivyoaninishwa hapo juu, katika mikataba hiyo ya kimataifa, iliwekewa nguvu na Mkataba wa Umoja wa kimataifa wa mwaka 1945 ama UN Charter na katika maazimio mbali mbali.

UN Charter (1945) inatambua kanuni hiyo katika Ibara ya 2.4 na 2.7 kama ifuatavyo;

2. 4. All Members shall refrain in their international relations from the threat or use of force against the territorial integrity or political independence of any state, or in any other manner inconsistent with the Purposes of the United Nations.

2. 7. Nothing contained in the present Charter shall authorize the United Nations to intervene in matters which are essentially within the domestic jurisdiction of any state or shall require the Members to submit such matters to settlement under the present Charter; but this principle shall not prejudice the application of enforcement measures under Chapter VII.

Maazimio mbali mbali ya Umoja wa kimataifa kama Azimio Na. 2131(xx) la mwaka 1965, pia lilitambua kanuni hiyo ya kimataifa inayoweka katazo kwa nchi wanachama kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Kwa kuzingatia kanuni hiyo, mahakama ya Kimataifa ya Utoaji haki ama ICJ, imetoa maamuzi kulingana na mashitaka yatokanayo na madai ya nchi moja kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, mfano mzuri ni shauri lile lihusulo nchi ya Nicaragua na Marekani mwaka 1986 na pia Congo na Uganda la mwaka 2005, tukianza na lile la marekani na Nicaragua Mahakama ya ICJ ilikua na haya ya kusema;

NICARAGUA VS USA, (Merits) ICJ Reports (1986),

"The principle of Non- Intervention involves the right of every foreign state to conduct its affairs without outside interference, though examples of trespass against this principle is not infrequent, the court considers that it is part and parcel of the customary international law....

The principle forbids all states or groups of states to intervene directly or indirectly in the internal or external affairs of the states.."

Katika shauri la Congo na Uganda mahakama ilikua na haya ya kusema,

DRC Vs UGANDA, ( Merits) ICJ Reports (2005),

" The principle of non -intervention prohibits a state to intervene directly , or indirectly, with or without armed force, in support of the internal opposition within a state".

Kitendo cha Jumuiya ya Ulaya kuruhusu Chadema kutumia premises zao katika kufanya mkutano wao, kimekwenda kinyuma na kanuni za kimataifa zinazokataza nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, na kimevunja mikataba yote ya kimataifa.

Ikumbukwe kwamba makosa waliyoshitakiwa viongozi wa chadema, sio ya kisiasa, bali ni makosa ya kawaida kabisa ambayo mtu yetote ambaye ni Raia wa Tanzania anaweza kushitakiwa nayo, hivyo hakuna sheria yeyote iwe ya ndani au nje iliyovunjwa jambo ambalo lingewapa Jumuiya ya Ulaya uhuru wa kufanya walichokifanya na kwa kuzingatia kwamba viongozi wa chadema hawana kinga ya kushitakiwa.

Ibara ya 15 (2) ya International Covenant on Civil and Political Rights (1966) inasema, nanukuu;

" Art. 15 (2). Nothing in this article shall prejudice the trial and punishment of any per son for any act or omission which, at the time when it was committed, was criminal according to the general principles of law recognized by the community of nations".

Kwa kuzingatia hayo, ni dhahiri mambo haya yanatakiwa kufanyika;

(i) Jumuiya ya Ulaya kuomba radhi kwa hayo yaliyotokea,

(ii) Serikali Kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na jumuiya ya afrika mashariki kutoa tamko kulaani kitendo hicho.

Ni waase tu ndugu zangu kuacha kufanya vitendo ambavyo vitazua mtafaruku bila ya kuwa na grounds zozote zile za kujustify vitendo vyao hivyo batili.
stroke katika ubora wake!
 
stroke
I think wamefanya kikao pale kwa vile hawana sehemu ya kufanyia kikao chao

Walifanya kikao giraffe hotel wakavamiwa na police, walifanya tena sehemu nyingine police Ikaenda kuwatoa

So now solution ni kufanyia sehemu ambazo police hawez kwenda

Ndio kama hapo walipo sasa
Kwa nini wasifanyie ufipa?
 
Kwa nini wasifanyie ufipa?
Ufipa Polisi hawawezi kufika? Elewa maana ya kusema hapo walipofanyia, Police hawawezi kufika. Amejitahidi kwa kifupi kukupa matukio ya polisi kuvamia vikao vyao, ambavyo vimefanyika nje ya ofisi zao.
 
Zipo taarifa, kutokana na Picha zinazozunguka katika mitandao ya kijamii kwamba siku ya Tarehe 27 ya mwezi wa tatu(3) 2018, Chama cha Demokrasia na maendeleo kilifanya kikao cha chama ndani ya ofisi za jumuiya ya nchi za ulaya. Sina hakika sana na kilichofanyika kama kilifanyika , ila ninayo machache ya kuyajadili hapa;

Kikao hicho ni matokeo ya hatua ya serikali kupitia vyombo vyake vya kiulinzi na usalama pamoja na utoaji haki kuwafikisha mahakamani viongozi sita (6) wa Chadema kutokana na makosa mbali mbali yaliyofanyika mwezi mmoja kabla, yaliyopelekea kutokea kifo cha wanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT.

Tanzania kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa ( UN) ni mmojawapo wa nchi zilizokubaliana katika matumizi ya mikataba mbali mbali ya kimataifa inayotoa maelekezo ya nchi wanachama namna ya kufanya mambo yake ya ndani na jinsi ya kuhusiana na nchi nyingine.

Moja wapo ya mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeipitisha ni pamoja na United Nations Charter, ya mwaka 1945, International Covenant on civil and Political Rights ( 1966) na pia ni mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya ICJ.

Ni kanuni ya kimataifa inayotambulika kwamba, hakuna Taifa lolote lenye mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya Taifa jingine mwanachama kwa namna yoyote ile, iwe ni kwa matumizi ya nguvu ama la, kanuni hiyo ni zao la mikataba mbali mbali ya kimataifa kama ilivyonukuliwa hapo juu.

Kanuni hiyo, ilianza kutumika kuanzia miaka ya 1933 kupitia Ibara ya 15 ya mkataba wa kimataifa wa Covenant of the League of Nations na pia The Montevideo Convention on Rights and Duties of States ambayo kwa pamoja ilikataza mambo yafuatayo;

" The inteference with the freedom(uhuru), sovereignty ( mamlaka ya nchi) or other internal affairs (mambo ya ndani ya nchi) or the process of the governments of other states ( au shughuli(michakato) za/ya nchi husika)"

Kanuni hiyo, kama ilivyoaninishwa hapo juu, katika mikataba hiyo ya kimataifa, iliwekewa nguvu na Mkataba wa Umoja wa kimataifa wa mwaka 1945 ama UN Charter na katika maazimio mbali mbali.

UN Charter (1945) inatambua kanuni hiyo katika Ibara ya 2.4 na 2.7 kama ifuatavyo;

2. 4. All Members shall refrain in their international relations from the threat or use of force against the territorial integrity or political independence of any state, or in any other manner inconsistent with the Purposes of the United Nations.

2. 7. Nothing contained in the present Charter shall authorize the United Nations to intervene in matters which are essentially within the domestic jurisdiction of any state or shall require the Members to submit such matters to settlement under the present Charter; but this principle shall not prejudice the application of enforcement measures under Chapter VII.

Maazimio mbali mbali ya Umoja wa kimataifa kama Azimio Na. 2131(xx) la mwaka 1965, pia lilitambua kanuni hiyo ya kimataifa inayoweka katazo kwa nchi wanachama kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.

Kwa kuzingatia kanuni hiyo, mahakama ya Kimataifa ya Utoaji haki ama ICJ, imetoa maamuzi kulingana na mashitaka yatokanayo na madai ya nchi moja kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, mfano mzuri ni shauri lile lihusulo nchi ya Nicaragua na Marekani mwaka 1986 na pia Congo na Uganda la mwaka 2005, tukianza na lile la marekani na Nicaragua Mahakama ya ICJ ilikua na haya ya kusema;

NICARAGUA VS USA, (Merits) ICJ Reports (1986),

"The principle of Non- Intervention involves the right of every foreign state to conduct its affairs without outside interference, though examples of trespass against this principle is not infrequent, the court considers that it is part and parcel of the customary international law....

The principle forbids all states or groups of states to intervene directly or indirectly in the internal or external affairs of the states.."

Katika shauri la Congo na Uganda mahakama ilikua na haya ya kusema,

DRC Vs UGANDA, ( Merits) ICJ Reports (2005),

" The principle of non -intervention prohibits a state to intervene directly , or indirectly, with or without armed force, in support of the internal opposition within a state".

Kitendo cha Jumuiya ya Ulaya kuruhusu Chadema kutumia premises zao katika kufanya mkutano wao, kimekwenda kinyuma na kanuni za kimataifa zinazokataza nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, na kimevunja mikataba yote ya kimataifa.

Ikumbukwe kwamba makosa waliyoshitakiwa viongozi wa chadema, sio ya kisiasa, bali ni makosa ya kawaida kabisa ambayo mtu yetote ambaye ni Raia wa Tanzania anaweza kushitakiwa nayo, hivyo hakuna sheria yeyote iwe ya ndani au nje iliyovunjwa jambo ambalo lingewapa Jumuiya ya Ulaya uhuru wa kufanya walichokifanya na kwa kuzingatia kwamba viongozi wa chadema hawana kinga ya kushitakiwa.

Ibara ya 15 (2) ya International Covenant on Civil and Political Rights (1966) inasema, nanukuu;

" Art. 15 (2). Nothing in this article shall prejudice the trial and punishment of any per son for any act or omission which, at the time when it was committed, was criminal according to the general principles of law recognized by the community of nations".

Kwa kuzingatia hayo, ni dhahiri mambo haya yanatakiwa kufanyika;

(i) Jumuiya ya Ulaya kuomba radhi kwa hayo yaliyotokea,

(ii) Serikali Kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na jumuiya ya afrika mashariki kutoa tamko kulaani kitendo hicho.

Ni waase tu ndugu zangu kuacha kufanya vitendo ambavyo vitazua mtafaruku bila ya kuwa na grounds zozote zile za kujustify vitendo vyao hivyo batili.
The purpose of education is not to reproduce texts as they are but to train a person how to reason and construct arguments.

Katika case na mikataba ya kimataifa uliyotaja ni kweli hayo yamesemwa, lakini je unajua kile walichokiongea?

Kwa mfano kama waliongea kumpindua raisi hapo ni kosa, lakini kama walienda kulalamikia haki ambazo zipo katika hiyo mikataba ya kimataifa na yanaendana na spirit ya UN Charter hakuna kosa lolote.

Katika sheria za kimataifa ubalozi haupo subject kwa sheria za host state, ndio kusema kuwa ubalozi wa Marekani uliopo hapo nchini unachukuliwa kama ni Marekani yenyewe, ni sawa sawa na kusema walichokifanya walifanya vile katika ardhi ya Marekani. Saa nyingine tumekuwa tukiona viongozi wa taifa moja wakienda kulalamikia taifa flan katika taifa nyingine.

Hata bila kuwa mwanachama wa hiyo mikataba ya kimataifa kuna makosa nchi ikifanya lazima iwajibike haiwezi kukimbilia kusema ni internal affairs, kwani katika Customary International law kuna makosa yaliyo na universal jurisdiction.

Kwa kumalizia ni kwamba bila kujua walichozungumza huwezi kusema kuwa kulikuwa na uvunjifu wa sheria, test siyo walipofanyia mkutano ila kile kilichozungumzwa na ambacho hata wewe bado hukijui.
 
Back
Top Bottom